Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽 Mie ugonjwa wangu huo na kama DJ anajua kuzipanga debe basi hapo roho yangu kwatuuuuu,

Dah u miss a lot. Club gani nisiyoijua hapa town. Labda iliyoanzishwa mwaka juzi maana nimestaafu Sasa.
 
Wine je? Mie sigara tena wakati huo sijui hata madhara yake. Mkiingia club na wapambe kila mtu ana packet yake. Baada ya wiki mbili au tatu nikaona upuuzi huu navuta kitu si enjoy chochote napoteza tu pesa yangu nikaamua kuzipiga chini. Miaka michache baadaye nikajua madhara yake kiafya na zilivyo addicted nikamshukuru Mwenyezi Mungu.

Wavutaji wana harufu fulani kutokana na uvutaji na inakera sana. Mrembo hata avutie kivipi lakini kama ni mvutaji huwa namuona kituko.

Pombe ilinishinda kabisa,kila nikionja naona chungu,huwa ninawashangaa wanywaji.
 
Kunywa mavinywaji magumu haya sijui Heineken....Kilimanjaro....Hennesy...... Jack Daniel....John Walker...nimeshindwa huwa naangalia wenzangu wanaonekana wanaenjoy hasa hiyo Hennesy ila mimi nimeshindwa aiseee
 
Wine je? Mie sigara tena wakati huo sijui hata madhara yake. Mkiingia club na wapambe kila mtu ana packet yake. Baada ya wiki mbili au tatu nikaona upuuzi huu navuta kitu si enjoy chochote napoteza tu pesa yangu nikaamua kuzipiga chini. Miaka michache baadaye nikajua madhara yake kiafya na zilivyo addicted nikamshukuru Mwenyezi Mungu.

Wavutaji wana harufu fulani kutokana na uvutaji na inakera sana. Mrembo hata avutie kivipi lakini kama ni mvutaji huwa namuona kituko.
Nakumbuka enzi za sigara za iceberg zimetoka, tulikuwa tukienda club tunavuta kama fashion tu yani... Hata stimu za sigara hatuna basi tu ujana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kunywa mavinywaji magumu haya sijui Heineken....Kilimanjaro....Hennesy...... Jack Daniel....John Walker...nimeshindwa huwa naangalia wenzangu wanaonekana wanaenjoy hasa hiyo Hennesy ila mimi nimeshindwa aiseee
Hamna kitu sio kwamba ina taste ya kipekee , ushamba tu... Wabongo tumedanganyana Hennessey pombe ya kitajiri basi kila mtu anataka aonekane a nakunywa Hennessy ata kama hapendi..
Kuna dem nilitoka nae ali insist tunywe hennesy, nikasema huyu mnywaji Nam marinate vizuri kabla sijala nyama... Mwisho wa siku ata glass Haku maliza ati imemshinda... Smh[emoji19]
 
Wine je? Mie sigara tena wakati huo sijui hata madhara yake. Mkiingia club na wapambe kila mtu ana packet yake. Baada ya wiki mbili au tatu nikaona upuuzi huu navuta kitu si enjoy chochote napoteza tu pesa yangu nikaamua kuzipiga chini. Miaka michache baadaye nikajua madhara yake kiafya na zilivyo addicted nikamshukuru Mwenyezi Mungu.

Wavutaji wana harufu fulani kutokana na uvutaji na inakera sana. Mrembo hata avutie kivipi lakini kama ni mvutaji huwa namuona kituko.
Hata wine ilishanishinda,hongera kwa kutokuingia kwenye uvutaji sigara. Mtu akiwa addicted ni ngumu kutoka.
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽 Mie ugonjwa wangu huo na kama DJ anajua kuzipanga debe basi hapo roho yangu kwatuuuuu,

Upo kama mm..nikisikia mziki mzuri huwa nakua clear headed balaa san..nadhan hakuna kitu naenjoy km kusikia mziki mzuri...kuna yule mdogo wake John Dilinga jaman ni dj mzuri yuleee...huwa nataman kuondoka saa11🤗...music kwangu ni tiba kuu..except za wakongo..huwa najionea tabu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hamna kitu sio kwamba ina taste ya kipekee , ushamba tu... Wabongo tumedanganyana Hennessey pombe ya kitajiri basi kila mtu anataka aonekane a nakunywa Hennessy ata kama hapendi..
Kuna dem nilitoka nae ali insist tunywe hennesy, nikasema huyu mnywaji Nam marinate vizuri kabla sijala nyama... Mwisho wa siku ata glass Haku maliza ati imemshinda... Smh[emoji19]

Hahajjaa ushamba mzigo..ht mm hennesy siipend mbaya sana mdomoni
 
Kunywa mavinywaji magumu haya sijui Heineken....Kilimanjaro....Hennesy...... Jack Daniel....John Walker...nimeshindwa huwa naangalia wenzangu wanaonekana wanaenjoy hasa hiyo Hennesy ila mimi nimeshindwa aiseee

Hata wine?😊
 
Haya yalinishinda, hata kujaribu tu sitaki kuskia...

-Club.
-Kuvuta sigara.
-Betting (kubeti).
-Kuongelea.
-Kushabikia mpira.
-Mademu.

Ugonjwa wangu ni kuover speed kama gari ina 230 nizikombe zote.... Nipe gari nasema nipe gari, naovertake hadi kwenye kona na speed ile ile, ndiyo mzuka wangu uliko lala
 
Mie huwa nna mdomo mbaya sana ngoja nisiandike ninaloliwaza kwako...!kwamba unaovertake had kwenye KONA🙆🙆🙆...!haya mzee baba...
 
Haya yalinishinda, hata kujaribu tu sitaki kuskia...

-Club.
-Kuvuta sigara.
-Betting (kubeti).
-Kuongelea.
-Kushabikia mpira.
-Mademu.

Ugonjwa wangu ni kuover speed kama gari ina 230 nizikombe zote.... Nipe gari nasema nipe gari, naovertake hadi kwenye kona na speed ile ile, ndiyo mzuka wangu uliko lala
We starehe yako tunaijua... Ata usitudanganye speed 230 kwenye kona shaa
 
Hamna kitu sio kwamba ina taste ya kipekee , ushamba tu... Wabongo tumedanganyana Hennessey pombe ya kitajiri basi kila mtu anataka aonekane a nakunywa Hennessy ata kama hapendi..
Kuna dem nilitoka nae ali insist tunywe hennesy, nikasema huyu mnywaji Nam marinate vizuri kabla sijala nyama... Mwisho wa siku ata glass Haku maliza ati imemshinda... Smh[emoji19]
Ha ha ha angekunywa kinywaji chake.

Ila hawa rafiki zangu wanaipenda maana nii wapenzi wa vinywaji vikali na uzuri wanaimudu kuinunua kwa hela zao...ila pamoja na kunishawishi kote sijawahi hata kuijaribu hiyo pombe.
 
Back
Top Bottom