miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 625
Duh


Mkiolewa wote michepuko tutatoa wp?tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii dua ina mushikeliNa kila kiumbe aolewe! Amen!
Aisee nimeuza nyumba ya urithi kariakoo naomba tuwasiliane PM mkuuBasi kiongozi... Kamata huyu ila hakikisha unafuga mbwa.
![]()
sio kwamba yamewavuruga ..WANA PRETEND TU MKUUHumu ndani wengi wanataman kuolewa basi ila Mawazo ya Humu yameshawavuruga
hahaaaa katoa macho huyoHakika mkuuu wa mama wanapenda ndoa sanaembu cheki kadada Ka uko nyuma !!!![]()
Unambiwa ndoaaa ndoa nibalaaa
Hapana si kila mtu anahitaji ndoa, wengine they only need an amazing sex, unaweza ukaolewa ukakosa hilo ndio ukajua kiasi gani umepoteza muda wako kuolewa na hitajika lako lisitimie! Unaishia kutafuta tena mwanamume Mashine halafu watu kiherehere cha kukusema bila kuelewa.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app

AmenNdoa tamu na ni tulizo la moyo na akili yani hata kama ni graduate hujaajiriwa ww kwako familia na mume wako ni jukumu tosha na upo peace kabisa. Shida ndo hujaolewa huna mtoto huna kazi duuuh dunia utaiona chungu na umri nao unaenda utaomba poo. Nawaona best zangu wanavyopagawa maana age zetu ni 30+. Ndoa ni ndoto na tamanio la kila mwanamke jamani lazima shilole achekelee. Nawatakia kila heri wadada wote wenye kupenda kuolewa kwa mwaka huu 2018 mambo yakatiki. Maana wengine hawapendi
hahaaaaSasa wakiolewa wote ma MILF watatokea wapi??, embu msiwashtue haka kamfumo ka maisha kaendelee..
wakuolewa waolewe na wakuja honga Ben10 waendelee kuwepo
hizo nyama zakwenye kiuno hapoHahahahahha
Unamaanisha uwe na mzigo kama huu?
![]()
hahaaa sasa baada ya miezi 6 silazima ufilisikeDaahh huyu bana siyo wakuweka ndani . Huyu Sijui Kama Atapata wakuweka Ndani Maani Kitimoto Kilo Tatu na Povu La Castle Litakuhusu Kila Siku
Mfyuuuu. Kuna mtu hasali sasa? Wezi wenyewe kabla hawajaingia kuiba huwa wanaomba Mungu wasikamatweKumbe na wewe huwa unasali?
Kweli mwisho wa dunia unakaribia
Kila mwanamke aolewe hebu rekebishaNa kila kiumbe aolewe! Amen!
Bado mkuu, natafuta mchumbaKila mwanamke aolewe hebu rekebisha
Wewe ushaolewa? tuanzie hapo
Hee nawe hebu niambie vigez vyakoBado mkuu, natafuta mchumba