Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Nmejaribu kuzoom nijue niwali au kande ??.

Kwaiyo maji ninaamin yatakua nimakande .

Ngoja nikusaidie kuzoom
1470819240262-jpg.378931
 
Huyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe.

Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa hautakuwa na maisha yenye amani.

Hongera Uchebe naona mzimu wako haujaleta masihara kama mzimu wa Nuhu.
Mwanaume je haitaji kuoa?
 
Amini usiamini tunategemeana sana sana zaidi ya timu za mpira. Huwezi kuishi pekee ukasema uko happy na maisha yako. Not true.
Amelaaniwa MTU yule amtegemeaye mwanadamu. Nina ujuha na ukengeufu kumtegemea mume ama mke kukupa furaha ktk maisha. Vipi usipoipata? Vipi ukaipata kwa mufa kisha akakugeuka?

Furaha inaletwa na yule aliye juu tuuu.

Lengo la ndoa ni mgegedo tu, na kwakuwa siku hizi kugegedana ni nje nje unataka ndoa ya nini?
 
Huyu Hapa Wakwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom