Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Haijalishi ni mzee au kijana. Utamu wa ndoa ni uleule
Maharusi.jpg
Mkuuu achaneni nandoa nyinyi ..ndo nitamuuuuuu
 
Mizigo mingine inabidi tuigawe bure tu

images
Daahh huyu bana siyo wakuweka ndani . Huyu Sijui Kama Atapata wakuweka Ndani Maani Kitimoto Kilo Tatu na Povu La Castle Litakuhusu Kila Siku
 
Ewaaaaaaaa sasa kitu izo ndo akiwa anapika unajisimia kimoyo moyo asikusikie

*Chakula kinapika chakula chenzake*
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Umetisha Mkuu
 
Mimi kuolewa wa wawili sio shida sema mi ndo niwe wa pili. Nikiwa wa kwanza halafu niletewe mwingine ndani ntaacha ndoa. Ila nikiwa wa pili poa tu
Hahahahhaa.... khaaa! Wivu sio dawa

Kama nakuona vile

mambo-jpg.124223
 
Mizigo mingine inabidi tuigawe bure tu

images
Asprin ,,Baba na mama yangu bado wananipenda looooooohhhh huuu mzigo ,,, kuupakua uuweke kwenye sahani uanze kuula ,,,si nivita muraaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Babake hapo lazima uonekane "lemutuzi".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom