Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Me nishaolewa mkuu me ni muhenga Wa kwenye ndoa na wajukuu juu
Kama Wanakupenda Namimi Nakupenda. Kama Wamekuoa Namimi Nakutaka. Adi Uniambie wameacha Kukupenda Ndo Ntaacha. Haki sawa Kwa wote Yaani wakupende Wao Afu Nisikupende. Haijawah tokea hyo
 
Kama Wanakupenda Namimi Nakupenda. Kama Wamekuoa Namimi Nakutaka. Adi Uniambie wameacha Kukupenda Ndo Ntaacha. Haki sawa Kwa wote Yaani wakupende Wao Afu Nisikupende. Haijawah tokea hyo
Khaaaaaaa hivi unajua unaongea na mtu age ya bibi yako
 
Khaaaaaaa hivi unajua unaongea na mtu age ya bibi yako
Shuni bana. Ujue ndo Staili ya hapa bongo Ambayo Haijapigwa Stop Na Magu Kubebisha Vijana Wadogo. Wewe Njoo Tuu Kibeni Mie Nipo Tiali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom