mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Hamna, sema bado sijajua unataka mwanaume wa aina gani, maana....Mito jaman kwani we ni kaben10
Viben10 hutaki...
Marioo hutaki...
Maheadsome hutaki...
Wenye hela hutaki...
Khaaaa

Hamna, sema bado sijajua unataka mwanaume wa aina gani, maana....Mito jaman kwani we ni kaben10

Hamna, sema bado sijajua unataka mwanaume wa aina gani, maana....
Viben10 hutaki...
Marioo hutaki...
Maheadsome hutaki...
Wenye hela hutaki...
Khaaaa![]()
![]()
![]()




nimecheka sanawewe tayari au badoNa kila kiumbe aolewe! Amen!
Ahahah naeleweka sana sema unashindwa tu kunielewaHueleweki ujue![]()
![]()
![]()
![]()
Mmh haya ngoja niendelee kufuatilia pengine nitakuelewaAhahah naeleweka sana sema unashindwa tu kunielewa
Sema Shishi ameoa bana...ameolewa wapi wakati alitoa mahari na show nzima aligharamia yeyeHuyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe.
Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa hautakuwa na maisha yenye amani.
Hongera Uchebe naona mzimu wako haujaleta masihara kama mzimu wa Nuhu.
Mmh haya ngoja niendelee kufuatilia pengine nitakuelewa




mito jaman ila me kweli sielewekiBasi nisema unapenda wenye sura ngumu bila hela au sura ngumu wenye helamito jaman ila me kweli sieleweki
Sura ngumu jaman sura ya kiume na hela iwepo asee sasa huna hela ndio ninii tenaBasi nisema unapenda wenye sura ngumu bila hela au sura ngumu wenye hela
Hahaaaa hapo sasa umesomeka vizuriiiSura ngumu jaman sura ya kiume na hela iwepo asee sasa huna hela ndio ninii tena
Ahahhaha watoto watachukua sura ya mamaHahaaaa hapo sasa umesomeka vizuriii
Ila hizo sura za watoto sasa.....
mimina nifue sina maji ahaaaaKila kiumbe kiolewe??? Tutake radhi wanaume kabla sijamimina mvua ya laana...
MBAwewe tayari au bado
Pouwaamambo demi
Married But AvailableMBA maana yake nn