SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,936
Hapa umeenda kiimani zaidi.Amelaaniwa MTU yule amtegemeaye mwanadamu. Nina ujuha na ukengeufu kumtegemea mume ama mke kukupa furaha ktk maisha. Vipi usipoipata? Vipi ukaipata kwa mufa kisha akakugeuka?
Furaha inaletwa na yule aliye juu tuuu.
Lengo la ndoa ni mgegedo tu, na kwakuwa siku hizi kugegedana ni nje nje unataka ndoa ya nini?
Hivi unajua kwanini wajane wanayo thamani kubwa mbele ya Mungu?
Ukipata jibu hili, utagundua kuwa upweke siyo dili Sexless!
Mungu mwenyewe anajua ya kuwa tunakoelekea vijana wote lazima tupate wenza Wa maishani ili kuitimiza furaha zetu.
Haya mambo kiimani uko sawa ila njoo kiuhalisia sasa ndipo utapopata majibu.
Ila tambua IPO furaha kubwa kuwa wawili, sema tu mambo huenda kinyume pale tu unapopata MTU ambaye hakujali na kukosa upendo Wa dhati.