Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Shuni bana. Ujue ndo Staili ya hapa bongo Ambayo Haijapigwa Stop Na Magu Kubebisha Vijana Wadogo. Wewe Njoo Tuu Kibeni Mie Nipo Tiali.
Viben10 sipatani nao kabisa yaan mambo ya kuanza kugombania dressing table au kukupa mahela hizo mambo zimenishinda kuhudumia mfugo aina ya binadamu
 
Viben10 sipatani nao kabisa yaan mambo ya kuanza kugombania dressing table au kukupa mahela hizo mambo zimenishinda kuhudumia mfugo aina ya binadamu
65bf99b93bb90a35ad0dc6df3fae5f0a.jpg

Njoo tu shuni Napenda Kuwa Kama Uchebe
 
Trust me and nature binadamu hawafanani wote kuna uniqueness. Wapo watu utamkuta na 40+ but hahitaji kuoa wala kuolewa. Ni wachache sana ila wapo.
 
Trust me and nature binadamu hawafanani wote kuna uniqueness. Wapo watu utamkuta na 40+ but hahitaji kuoa wala kuolewa. Ni wachache sana ila wapo.
Mmmhh huyo yalimkuta huko Nyuma ndo mana Hahitaji kabisa kusikia Ndoa
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote,na watu wote tuseme amina!
 
sijui nahisi inatagemea Mtu na mtu maana am 27 nina kazi na maisha yangu mazuri tu ambayo naweza ishi hata na wake wanne ila kiukweli sina Mpango wa Kuoa na wala sipati Hamasa yoyote ya Kuoa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom