Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Huyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe.

Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa hautakuwa na maisha yenye amani.

Hongera Uchebe naona mzimu wako haujaleta masihara kama mzimu wa Nuhu.
Tuoeni nyie maneno mengi anza wewe toa mfano oa uwatulize wakina shishi wengine.
Ila shishi anamume safari hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom