Shangazi shikamana na ndoa yako,zile pm za JF zipuuze zisije kukuharibia ndoa yako bure!!tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Weeee mkuuu ,sikuwezi ,nacheka hapa
balaaaa
Iyo niyama legends !!!! Unambiwa ivi ,,ndoa itabaki kua ndoa mkuuSijaisahau mkuu... ndoa tamu bhana
![]()
Wanawake wote wanapenda sana kuolewa. Ukimkuta mwanamke anasema yeye hana shida ya kuolewa huyo ni mwongo tu; siyo kama hana shida ya Mume, ila hajapata tu Mume wa kumuoa bado.Huyu Ni Shishi Trump Anafuraha Kupita Maelezo Kwa Kuolewa Na Uchebe.
Twende Mbele Turudi Nyuma Hapa Mjini Utadanga Wee ILa Mwisho Wa siku Ndoa Utaihitaji Tu. Na Kama Ukifika 40's Haujaolewa Hautakuwa Na Maisha Yenye Amani.
Hongera Uchebe Naona Mzimu Wako Haujaleta Masihara Kama Mzimu Wa Nuhu.
Iyo niyama legends !!!! Unambiwa ivi ,,ndoa itabaki kua ndoa mkuu![]()
ebwana ndoa isikie tuuu![]()
Ewaaaaaaaa mambo ndo hayooooo sasa mambo ndo hayooooooooooo.....tatizo sasa wakunifanya niwe kiboko. Ukiboko haufunzwi. Ni mwanamke mwenyewe akiamua awe ziwa bahari au mto kwako lazima uwe kiboko nakwambia.

Hakika mkuuu wa mama wanapenda ndoa sanaMkuu usicheke, hawa wamama wanapenda sana kuolewa. Basi tu yani
![]()
Acha kabisa na kwavyuma hivi ???? Mkuuu asipolipa yeye ,basi aje tuishi tuuuHakika Umenena Mkuu. Kuishi pamoja Ndiyo Msamiati Utakao Bakia. Maana Vyuma Vimekaza Na Hana Mahali Yakulipa Sasa Kwanini Asiishi Namimi
Nikweli kabisa mkuuu .Wanawake wote wanapenda sana kuolewa. Ukimkuta mwanamke anasema yeye hana shida ya kuolewa huyo ni mwongo tu; siyo kama hana shida ya Mume, ila hajapata tu Mume wa kumuoa bado.
Hata maandiko yamesema hivi; "na tamaa yako itakuwa kwa Mumeo". Maana yake ni kwamba kila Mwanamke licha ya kutawaliwa katika ndoa lakini bado watatamani sana kuolewa. Ndiyo maana ISAYA aliandika hivi; "kuna siku Wanawake saba watamfuata Mwanaume mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako, utuondolee aibu yetu".
Maana ya maneno hayo ni kwamba siku zinakuja Wanawake watakuwa wengi sana tena wenye uwezo wa kujitegemea katika kila kitu, lakini Wanaume wa kuwaoa hawatakuwepo, ndipo sasa itafikia Mwanaume mmoja atafuatwa na Wanawake saba na watambembeleza awaoe wote ili tu awaondolee aibu ya kukaa bila mume.
Huyo sasa ndo anaitwa mpenzi mtazamaji... Hawa jamaa wa TV wanatukosea heshima kutuita "wapenzi watazamaji" wakati sisi tuko gado na ndoa zetu... tunakula bata...Hakika mkuuu wa mama wanapenda ndoa sanaembu cheki kadada Ka uko nyuma !!!![]()
Unambiwa ndoaaa ndoa nibalaaa
Si hao hapo.Wanapakana mate wapi?
![]()
Kila kiumbe kiolewe??? Tutake radhi wanaume kabla sijamimina mvua ya laana...
