Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,547
- Thread starter
- #21
Sasa Kwanini Asingeolewa na Jamaa Wa Nyuma? Ameishi Nae For How Long Hadi Aje Kuolewa Na Uchebe . Ni Nyodo Tu Na Kujikuta Umli Haujaenda Na bata Zikiwasumbua. Now Umli Umeenda Ndo Anakumbuka Kuna Ndoa.Sasa mtu akiolewa asifurahi jamaani aonyeshe huzuni wakati maisha yenyewe mafupi haya.
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hivyo ikitokea furaha muhimu bana.
