Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

a78aa60d7df2667bf4fcdf086f05c39f.jpg
ndo unamaanisha ,,dunian maajabu bado yanaendelea ??.

Maajabu hayawezi kuisha...\

upload_2018-1-15_19-0-1.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika hiii nidunia ya wonders duuuhhh ilo pala ukipita juani mida ya SAA saba ,alafu ukoseee uzuge kulipaka Alizeti ....dadeki lazima kichwa kijikaange tu
Sasa Uwe na Kichwa kama Idriss afu Unanyoa Para. Unapaka Alizeti mida ya Sita Mchana[emoji2] [emoji2]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom