Si ndio hivyo, likipita limepitaMwenzangu unacheka mpaka jino la mwisho sababu mambo kama hayo huwa hayajirudii.
Si ndio hivyo, likipita limepitaMwenzangu unacheka mpaka jino la mwisho sababu mambo kama hayo huwa hayajirudii.
Asante sana, japo kumpata mr right haikuwa kazi rahisi. Nilikutana na wazinguaji kibao.Hongera mkuu
Mzeee baba ,,unaambiwa pesa sababu ya roho.Mzee baba hapa veepee? Utacheba? Tufanye ana mavumba kama Mtoto wa Bill Gate
![]()

Jamaaaaaa ninauhakika ,,Hajaifikia hahahahahahaa km kaingiza ni kichwa tuHii makitu ya ndoa huwa hayanaga uvumilivu...
View attachment 676267

Kweli kabisa mwaya. Sio siku ya harusi eti uanze kuhuzunika kisaaa. Furaha muhimu.Si ndio hivyo, likipita limepita
Aspirin hao jamaaaan uliwaonea kuwapiga kapicha ,,
Alafu usikute umewashitukiza wakat jamaa manii ndo zinataka kutoka dadekii
Hahahaha, yaan dah acha tu ifike hiyo siku nayo maana niliisubiri sana.Kweli kabisa mwaya. Sio siku ya harusi eti uanze kuhuzunika kisaaa. Furaha muhimu.
Wewe mkuuu mbn eneo nimojaaaa dadekiii ..usikute wameambiwa ..ukifanikisha kulana hapo..utajiri ninje njeHahahahaha... haka kaeneo watu hawachezei fursa...
![]()

Mzeee baba ,,unaambiwa pesa sababu ya roho.
Sitovunga ,ila ninauhakika nitachepuka![]()
![]()
![]()
Kwaheshima na taazima ,niseme nipo Tatar kuishi gerazan na huyu kiumbeKama vipi chukua kabisa mwanausalama... walume hawatakuibia...
![]()

Wewe mkuuu mbn eneo nimojaaaa dadekiii ..usikute wameambiwa ..ukifanikisha kulana hapo..utajiri ninje nje![]()
![]()
![]()
Kwaheshima na taazima ,niseme nipo Tatar kuishi gerazan na huyu kiumbe![]()
![]()
![]()
Hahahahhaa mizigo ya Aspirin mzeee dooooooh sijui yawapi yaaan.Mkuu mizigo ya Aspirini Ni Pasua Kichwa. Michemsho Inahitajika Asubuhi Na Jioni. mdudu Mixa Na Povu La castle Pia Inahusika Mkuu Mie Siwezi Nasubili Wanioe Tuu Hawa wakifika 35![]()
![]()
![]()
![]()
Mshangao!Hapo umekasirika au?
Mhhh!!!!Na kila kiumbe aolewe! Amen!
Aiseeeee Mkuu ,,,nmecheka mpaka wamenishangaaaa ....aka kabenchi kapo nchi gan ???
Tatizo jamaa anachagua sana... eti hata huyu kamkataaMkuu Wewe Humpendi Putini Kabisaaa. Muache Putin Wa watu Wasije Kumdungua Na Gun
Mkuuu hiii dunia ,,watu tungekua hatuzeeki ,tunajivua magamba km nyooka ,, ingekua rahaaa sanaaa.Aisee umenichekesha sana we jamaa....
![]()