Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kwanini chakula kiungue wakati mambo yakianza tunazima gas au umeme fasta tule tunda kwa nafasi.
Hii makitu ya ndoa huwa hayanaga uvumilivu...
upload_2018-1-15_17-58-0.jpeg
 
Huyu Nae Mchemsho Kila Asubuhi Watoto Wakiume Tunapenda Kulelewa Kama Uchebe. Huyu Tutapeleka Wapi Mkuu?
Basi nimeshaujua ugonjwa wako. Kamata huyu malkia uweke ndani kwa matumizi yako binafsi

bb277676da53227375798949cb72a165.jpg
 
Kwanini chakula kiungue wakati mambo yakianza tunazima gas au umeme fasta tule tunda kwa nafasi.
Hapoooo sawaaaaaaaa hapooo sawaaaaaa ...nahapa kwamambo hayo ,,nilazima nirudi nyumban saaa 12 join nishafikaaa.

Alafu napokelewa na Na chai yamaziwa ,,Karangaa ..sijakaa sawa unasikiaaa "Baby nataka kuongea na Putin wako mdogo " mweeeeeeeee

Hakika chakula hakiungui
 
Akaaaa. Kumsalimia Putin mdogo pia mpaka nikwambie jamani. Nikishamaliza kukuogesha na kupiga story mbili tatu na wewe Putin mkubwa naenda msalimia sasa Putin mdogo.
 
Akaaaa. Kumsalimia Putin mdogo pia mpaka nikwambie jamani. Nikishamaliza kukuogesha na kupiga story mbili tatu na wewe Putin mkubwa naenda msalimia sasa Putin mdogo.
Uwiiiiiiii what a lovely word haaaaaaaaaaaaa ,,,,unaambiwa raha ya ndoa sio mpaka uambiwe ..haaaa mtanga weeeeeeee mtangaaaaa weeee dooooooh.

Kwamambo hayo nikisharudi hom sitoki ng'oooooo .
 
Chagua mmoja hapo. Unajua unanisumbua nakutafutia wa kuingia naye kwenye ndoa afu we unatafuta visingizio
1430540877049-jpg.248499
Hahahaaaaa aiseeeee mwenye kuvalia Black ,kananitosha mkuuu maana duuuhhhh sitaki kutumiwa tu Mimi ,nitazeeka mapema !!.

Iyo mashine namwachia Trump Tower.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom