Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Mkuuu unambiwa ndoa inafanya watu
86eeb258b14b79cfd110a78e6346bcb3.jpg
Hahahaha

Wakitoka hapo kazi ya kudumisha ndoa inaanza... Baba lazima ashibe.

images
 
Mioyo ya wahusika ingekuwa inaongea, mngejua jinsi wanavyozihitaji ndoa.

Asikudanganye yeyote, furaha ya mwanamke iko kwa mwanaume na furaha ya mwanaume iko kwa mwanamke siku zote. Hakuna mtu asiyeihitaji ndoa au maisha ya kuishi wawili. Ni pale tu ambapo anakuwa hajapata mtu sahihi Wa kuwa naye.

Amini usiamini tunategemeana sana sana zaidi ya timu za mpira. Huwezi kuishi pekee ukasema uko happy na maisha yako. Not true.
mungu hakukosea kuumba kila kitu ktk pair,kwa kweli mwanamke ni muhimu kwa mwanaume kama ulivyo mhimu kwa mwanamke kuwa na mwanaume.
 
Wanaoringa Saiz Ikifika mbeleni wanatujazia Nyuzi MUME ANAHITAJIKA... hawataki hata vigezo,wanataka kuolewa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom