Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

Bila shaka ulikuwa unampenda huyo kijana ndio maana imekuuma sana
poyeee
 
Uzuri wake huwa hatuna limit ya namba. Ni uwezo wa kuwapangia ratiba na kuhakikisha hamgonani, na mnapewa vi Toyota IST lol

hahaaa duh hili la kutupanga kwakweli ni sawa,ila unavyocare hata kama kuna foleni

basi unakuwa unaiona hata!!!!!!!!
 
comment za wanaume?????????? wale wale
 
hahaaa duh hili la kutupanga kwakweli ni sawa,ila unavyocare hata kama kuna foleni

basi unakuwa unaiona hata!!!!!!!!

Umeona eehn. Ikifika jioni naenda kwa 'bibi' yako nikiwa 'babu'. Tukienda holiday Serengeti miye bebi bana.
 
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!

Duh nimesoma ilipofika sehemu ya kukabidhiwa funguo nikastuka kweli. Kama nimepigwa shot ya TANESCO.
Kumbe haya mambo yanawezekana eeh?
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kwani Munkari ulienda kudowea keki au kushuhudia ji shuga mami?
 
Last edited by a moderator:
haahaa! Umeona eeh! Mana huyu Eiyer huwa ni mtata sana.ngoja nijipange!


Jamani nyie mabinti mimi ni Eiyer sio mtata

Halafu unajua tata kwa kichaga cha rombo maana yake?
 
Last edited by a moderator:
Sweetheart Munkari, respond over this allegation immediately

haahaa! Dear statement zingine hazina mashiko so hata kujibu unaloose some energy jamani ,mi na wewe kama kunguru wa zanzibar! Loh!
 
ujumbe uwaendee pia wadada wanaotoka na mibaba saizi ya babu zao tena ni waume za watu. jaman mnatesa familia za wenzenu, sio vizuri

Tena kwa kujifariji wanawaita baby, baby gani kakuzidi umri mara tatu yako?
 
kwani k za kina mama au bibi hazina haki ya kupewa mshedede wa haja? waacheni kina mama wapewe huduma inayostahili!
 
Kuna issue hata shetani huwa anakimbia. Anyway, yote maisha si ajabu. Tena hao wa-mama wanakutokea live bila chenga. Ukipenda miteremko mtoto wa kiume mwisho unaolewa. Uanaume ni misimamo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom