Hata mwaka hamjamaliza ,ameshakuwa hubby?hahaa aiseee! La ma hubby linanitosha kabisaaa!
Naomba nikusindikize. hivi konnie hujakwalifayi kuwa sugarmummy?Ngoja nipite leo.
Kwani determinant ya size ya K na mboo ni Age? muwawache wamamasa si wachukue saizi zao!
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
kha kwa hiyo kama hamna ubaguzi ndio uwe na mpenzi babu yako au bibi yako???

Lakini pia, wadada haohao wakumbuke ya kuwa mwosha huoshwa! Hivyo wao pia watatesewa familia zao, it is just the matter of time.ujumbe uwaendee pia wadada wanaotoka na mibaba saizi ya babu zao tena ni waume za watu. jaman mnatesa familia za wenzenu, sio vizuri
teheeeeeeeeee!!! nina uhakika angempa zawadi ndogo kama saa hivi usingetuhadithia. lol. ila kaka zetu siku hizi mnatisheerrrrr jamani.