Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
 
kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????
 
Heheheh....lakini angelikuwa ni binti mduchu anazawadiwa fweza za kutosha na zee jitu zima...aaah wadada mngepiga makofi na si ajabu nanyi mngetamani muwe na mtu kama huyo!!

Bado naendelea kutaka kujua namna wanawake wanavyowaza aisee, mabesti zangu namomba mnisaidie
 
Kama ingekuwa msichana ndio kapewa ungesikia ana Pedezhee yanki yanki hivi ila kwa mwanamme Sugarmammy.......Tabia hii siyo nzuri kwa pande zote kwani inalemaza akili na kumtia mhusika hofu ya kujaribu maisha mapya.
 
wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu. ...huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa cjaamini,kweli ujana maji ya moto! .....si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh! Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juuu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake. Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa cku si zenu shauli yenuu ! ...ntarudi!
Dada yangu Munkari hiyo ndiyo haki sawa kwa wote, wakati wakina dada wanatoka na Babu/Baba zao huku nako masela wanabanjuka na Bibi/Mama wanaomilikiwa na hao hao.

Hapo tuliosoma "Chemistry" tunasema, Balanced Equation. 2H[SUB]2(g)[/SUB] + O[SUB]2(g)[/SUB] -> 2H[SUB]2[/SUB]O[SUB](l)[/SUB], na watu wanakunywa maji.
 
wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu. ...huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa cjaamini,kweli ujana maji ya moto! .....si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh! Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juuu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake. Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa cku si zenu shauli yenuu ! ...ntarudi!

Umbeya mtupu. Wamependana wenyewe, wewe nini kinakukera. Umesema, utarudi?? Kama habari zenyewe ndio hizi za kufuatilia maisha ya watu, usirudi kabisa.
 
wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu. ...huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa cjaamini,kweli ujana maji ya moto! .....si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh! Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juuu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake. Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa cku si zenu shauli yenuu ! ...ntarudi!

Mh Munkari mbona umekuwa mkali kana kwamba wasichana hawatembei na babu zao, waambie pia wadada wadogo, tena unaweza kuta early 20s tu waache tamaa watafute agemate zao na wajishughulishe kutafuta riziki na kuzingatia masomo
 
wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu. ...huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa cjaamini,kweli ujana maji ya moto! .....si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh! Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juuu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake. Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa cku si zenu shauli yenuu ! ...ntarudi!

Sugar mummy wapo tena wengi tu, na ukweli ni kwamba huwa nakereka sana kusikia kijana mwenye nguvu zake na akili zake timamu anawekwa ndani na sugar mummy na kuanza kuhudimiwa, kweli huwa nasikitika sana maana mchezo huwa ni sawa kabisa na kijana kushindwa kujitambua kuwa yeye ni nani ana wajibu gani katika jamii iliyomzunguka.

Mwanaume ni kichwa na kiongozi wa nyumba kwa mujibu wa vitabu vya dini, na kitendo cha kuikataa hadhi na heshima uliyopewa ya kuongoza nyumba, inaweza kumuingiza mpaka kwenye hatari ya kwenda kuwekwa kimada na mwanaume mwenzake endapo hilo jimama litampiga chini na akakosa shughuli ya kumpa kipato. tabia hizi huwa wafanya vijana wa namna hii wabetweke na kugeuka watu wa kupenda starehe na kutunzwa bila kujishughulisha. Huu ni uanaume wa aina gani huu?

Nakushukuru kwa kulizungumzia hili suala. Ni aibu vijana, hebu tuache upuuzi huu, na tufanye kazi na kula kwa jasho la mikono yetu wenyewe.

Heheheh....lakini angelikuwa ni binti mduchu anazawadiwa fweza za kutosha na zee jitu zima...aaah wadada mngepiga makofi na si ajabu nanyi mngetamani muwe na mtu kama huyo!!

Bado naendelea kutaka kujua namna wanawake wanavyowaza aisee, mabesti zangu namomba mnisaidie

watu8, rafiki yangu na ndg yangu wa karibu, ukweli ni kwamba si kila jambo tunaweza kulinganisha kwa wanawake na wanaume. Suala la mwanaume kuoa binti mdogo si sawa na kijana kwenda kuoa mama mtu mzima. Kiutamaduni na kiimani tangu enzi na enzi hali ilikuwa hivyo. Lakini huo mchezo ulioingia sasa wa vijana kuoa mijimama, si kwa sababu ya mapenzi waliyonayo kwao, bali kuwageuza hao miradi. Na hii imewafanya baadhi yao kuwa wazembe, wavivu na watu wasiojituma kwenye kazi. Wamepoteza hadhi na sifa za kuwa wanaume jambo ambalo ni hatari sana.

watu8 sijui wanawake watawaza nini, lakini ktk hali hii, wanawake ni haki yao kutunzwa na wanaume. Mwanaume ni lazima awe mkuu wa nyumba na mtunzanji na mlinzi wa hiyo familia. Mwanamke anaweza kumtunza mwanaume tena hasa wa ndoa lakini si kwa staili hii ya vijana kutunzwa na mimama.
 
Last edited by a moderator:
Wewe utakua na tabia flani za kiswazi maana kama ulishasikia kijana anatoka na ilo jimama na hiyo tabia huipendi ni kitu gani kilikupeleka hapo? au ulienda ili upate la kuja kusema jf? haya tumekusikia mama......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom