Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
uzee mwisho chalinze mjini kila mtu BABY!!!!!!!!!
uzee mwisho chalinze mjini kila mtu BABY!!!!!!!!!
Kilele cha mlima kilimanjaro,sa ukute jimama mara ya mwisho kupandishwa
ilikuwa siku nying sana lol
dogo akikohoa tu mama mtumzima huyu hapa....
Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
watu8, rafiki yangu na ndg yangu wa karibu, ukweli ni kwamba si kila jambo tunaweza kulinganisha kwa wanawake na wanaume.
kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????
ujumbe uwaendee pia wadada wanaotoka na mibaba saizi ya babu zao tena ni waume za watu. jaman mnatesa familia za wenzenu, sio vizuri
ukimuuliza kampendea nini??? anajifariji eti huyu ujana wake inaelekea alikuwa handsome sana!!
kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????
kha kwa hiyo kama hamna ubaguzi ndio uwe na mpenzi babu yako au bibi yako???Hakuna duniani urafiki usio na sababu, iwe ni sura au umri au uchumi zote ni sbabu tu za mapenzi. Ubaguzi wa aina yoyote sio mzuri: iwe ubaguzi wa rangi, kabila, jinsia hata ubaguzi wa umri ni sumu pia. Watu wamefungwa miaka 27 kuondoa ubaguzi
Umbeya mtupu. Wamependana wenyewe, wewe nini kinakukera. Umesema, utarudi?? Kama habari zenyewe ndio hizi za kufuatilia maisha ya watu, usirudi kabisa.
Mh Munkari mbona umekuwa mkali kana kwamba wasichana hawatembei na babu zao, waambie pia wadada wadogo, tena unaweza kuta early 20s tu waache tamaa watafute agemate zao na wajishughulishe kutafuta riziki na kuzingatia masomo
Wewe utakua na tabia flani za kiswazi maana kama ulishasikia kijana anatoka na ilo jimama na hiyo tabia huipendi ni kitu gani kilikupeleka hapo? au ulienda ili upate la kuja kusema jf? haya tumekusikia mama......