Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

ni kweli kabisa uyasemayo but imekuwa kawaida kuona vibinti na mibabu zao wenyewe wanasema ng'ombe hazeeki maini! ukifatilia vzuri historia utagundua hilo but vijana nowdays daah! Mabandiko kila siku wanatafuta misugarmami hapa iwalee khaa!
Nawe njoo uwe mama sukari wangu. Sharti ni kuninunulia angalau toyo (pikipiki)
 
Dada yangu Munkari hiyo ndiyo haki sawa kwa wote, wakati wakina dada wanatoka na Babu/Baba zao huku nako masela wanabanjuka na Bibi/Mama wanaomilikiwa na hao hao.

Hapo tuliosoma "Chemistry" tunasema, Balanced Equation. 2H[SUB]2(g)[/SUB] + O[SUB]2(g)[/SUB] -> 2H[SUB]2[/SUB]O[SUB](l)[/SUB], na watu wanakunywa maji.

nimeona mkuu daah!
 
Kama ingekuwa msichana ndio kapewa ungesikia ana Pedezhee yanki yanki hivi ila kwa mwanamme Sugarmammy.......Tabia hii siyo nzuri kwa pande zote kwani inalemaza akili na kumtia mhusika hofu ya kujaribu maisha mapya.

kweli mkuu!
 
kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????

Hahahaaaa!Ngoja wenyewe waje!
 
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!

nimemwuliza amesema wewe ulimkataa kwa kuwa bado hajapata kazi......LoL!!
 
Shida iko wapi? Au ulikuwa unamtaka wewe huyo kijana?
 
Wivuuuuuuu wivu ukizidi, kwetu tunaita GERE!
 
huo nao ni wivu wa kike kama wasemavyo wanazuoni.Werwe ulitakaje ..mapenzi ni kuridhishana hayana umri wala nini kikubwa is to satisfy your soul.we ulitaka gari bovu livutwe na gari bovu du watu wengine bwana!Je ingekuwa wewe umepata sugar dady ungetekenya maneno hayo,je ni wangapi wenye uwezo wa kupata/kununua gari kama alopewa?Je ingekuwa umemsikia kaka huyo kalipata kupitioa ujambazi ungechonga kiasi hiki?Fuatilia yako acha wengine wapeane raha na mali.Au ndo sizitaki mbichi hizi?
 
ofkoz ni hb but siyo kiviiiileeee!
Aaaaaaaaaaaahaaaaa kumbe nimeshajuwaaaaaaaaaaaaaaa!
Umemzimikia kia umempenda pia kijana HB sio kiviile, ila kwa ule mtiti unajuwa huwezi kumchomoa!
pale kwa jimama! Kumbe huwezi kulumangia ugali wa kachumbari kachumbari!
 
Kipi Bora kati ya kukaa kwa shida na Maisha ya kuungaunga kwa Miaka mingi? Au Kukaa kwa Raha,ukila bata,gari na nyumba yako bila mawazo kwa mda mfupi? KAAAZI NI KWAKO
 
Naona wale waliodizaini tangazo la Fataki walidhamiria mwanaume kwa watoto wadogo ila hakufikiria upande wa pili,wanawake waliofiwa na waume wakawaachia mali,wanawake wengine wametoa vizazi vyao kwa waganga ili wapate mali na huwa hawaolewi wanawamaliza vijana aisee na ukizingatia vijana wengi siku hizi wavivu aisee hawataki kufanya kazi matokeo yake ndiyo hayo, vijana wengi wa kiume wanakimbilia kuwa wasanii si wanajua kule wanatumia mdomo tu na vijimistari vya uongo uongo akisha bana sauti akichanganya kimombo kidogo "ooooh baby I luv you, usinitese" tayari anajiona msanii na hivi wanaambiwa sanaa ni ajira basi wanakimbilia huko hayo ndiyo matokeo yake........ukiwauliza eti wanatengeneza maisha jamani vijana tufanye kazi............over
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom