Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!

Acha hizo bhana ngoma mnazo nyie nyie mayanki mizee ya watu wala hata haina migoma siku hizi research zinasema kati ya miaka 15 mpaka 40 ndio kifooooooo
 
At least hiyo, mana kwa upande wa mabinti hadi wanazaa nao. kwa hiyo inakua babu kazaa na mjukuu. lakini hawa jamaa sana sana ni kusaidiana na umaskini dhidi ya matatizo ya kisaikologia. Pia hayo wakati mwingine ni matokeo ya kujidau mafeminist, wakati huduma wanataka
 
mradi wako wazi kila mtu anajua mi naona poa tu.
 
Kama ilivyo kwa wanaume sikuzote hupenda kutoka na wasichana na hujiona fahari kwa hilo, basi na kwa wamama ni hivyo hivyo, tofauti tu ni kwamba mmama yeye hufaidi zaidi kwa sababu amepata kijana ambae bado ana nguvu, ila kwa upande wa wazee wa kiume wao huishia kuumwa na nyoga na miguu tu baada ya kupata mikiki mikiki ya visichana!!
 
mwache kijana katoa huduma katunukiwa......... na wewe wataka?

Mamndenyi heri yako wewe umeamua kumpa Munkari Black & white>Ingekuwaje kama uyo mama sukari angempa zawadi ka kitambaa cha Nkononi au kalamu huyu Munkari angelileta hapa jukwaani>Mie bado nasisitiza gari bovu halitavutwa na gari bovu>Mzee kwa kijana and vice versa!Munkari acha kujadili watu jadili matukio au ulitumwa na Shigongo kwani ndo mwenye magazeti ya kishoga.Ila endelea na kazi yako hii ya kijungu jiko kama ndo inapeleka kitu ndani ya elementary system) yako
 
Kibibi Jongo pole kama nimeshindwa kueleweka, ila majibu yangu yako kwenye italic kama ifuatavyo ....

Horsepower kwahiyo huyu mmama na kijana wangekuwa na ndoa ingekuwa sawa kutunzwa?
Kwa kifupi si sahihi kwa kijana kuwa na mahusiano na mama mtu mzima na hivyo basi hata ndoa za namna hii nazo pia hazikubaliki kwa muktadha huo huo! Na pia hata matunzo ya namna nayo pia hayakubaliki!

Au point yako ni nini sasa hapo!
Point yangu ni kuwa vijana waache kutafuta short cut za maisha kwa kuuza heshima na utu wao kwa kwenda kuwekwa ndani na misugar mummy inhali wana akili na nguvu za kufanya kazi na kujipatia vipato halali. Vitendo wanavyovifanya wanajidhalilisha na kujishushia thamani.

Tatizo ni umri au ni nani anapaswa kumtunza mwenzie katika uhusiano? iwe kabla ya ndoa au ndani ya ndoa.
Vyote ni matatizo, umri ni tatizo na hususan kijana anapoamua kukaa na mama mwenye umri sawa na mama yake mzazi! Na hata suala la nani amtunze mwenzake nalo pia ni tatizo, maana kuna baadhi ya vijana wanataka kugeuka kuwa watoto wa kike kwa kutaka kulelewa na kusahau kuwa wao pia wanapaswa kuwalea wenzi wao!
 
Last edited by a moderator:
Kibibi Jongo pole kama nimeshindwa kueleweka, ila majibu yangu yako kwenye italic kama ifuatavyo ....

naunga mkono hoja yako,pia kimaadili sio sahihi hata kiafya,naongeza kwa kusema hivii,hata wasichana kutembea na mijitu mizima kama baba zao looh sio vizuri na wala sio maadili
 
Last edited by a moderator:
Kibibi Jongo pole kama nimeshindwa kueleweka, ila majibu yangu yako kwenye italic kama ifuatavyo ....

Bado HorsePower hujakuwa clear hapa. Tatizo ni umri kama mama yako au aliyekuzidi umri? labda kama dada yako au mamamdogo je? Let's say mwanamke kamzidi mwanamme miaka 7 mpaka 12?

Upande wa huduma! Nani anapaswa kumhudumia mwenzie kwenye uhusiano wa mapenzi? Iwe ni ndoa au siyo ndoa? Whether wote wawili wana kipato au mmoja ndie mwenye kipato? Umesema baadhi ya vijana "wanageuka kuwa kama watoto wa kike, kwa kitendo cha kutunzwa na wanawake"!
Mwanamme hana haki ya kutunzwa?
 
Last edited by a moderator:
adi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Munkari naona una munkari na kijana kugegeda jimama
Kwa uhalisia ni wivu unakusumbua tu
Wanawake mnaongoza kwa kudai haki sawa za kijinsi na kijinsia
Kwanini ninyi mkitembea na baba zenu Siye hatusemi kitu
Au unataka kuniambia kuwa Mibaba haina ukimwi au haina wake zao?

Acha Kijana afaidi madunda ya kuwa kijana wa kiume
Au ulitaka awe Shoga ili azawadiwe gari na Jibaba Maaluni?
Haki sawa ndio Mpango mzima

Ukipata Jibaba; Binti jichukulie kwa raha zako
Ukipata Jimama; Kijana jichukulie kwa raha zako.

Bazazi ni Bazazi sio bazazi.
 
Last edited by a moderator:
bestito ulkkuwa hujui kuwa watoto wetu wanaatekwa na mashumamami ndo ujue best tuna la ziada zaidi ya kumwomba Mungu awafunge viuno vyao wasizae nao maana majanga tu
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
 
Wewe utakua na tabia flani za kiswazi maana kama ulishasikia kijana anatoka na ilo jimama na hiyo tabia huipendi ni kitu gani kilikupeleka hapo? au ulienda ili upate la kuja kusema jf? haya tumekusikia mama......

hmm....mtoa mada ni mama au baba???? Hahahaha
 
vijana wa kuoa hapo wanakimbilia kwa mashugamami wanabaki kugegeda mabinti kuogopa kuachwa......niliwahi kuhudhuria arusi ya jimama na kijana mmmhh ilikuwa nzuri lakini kama mtoto na mamake walikuwa hawaendani kabisa na huyo mama alikuwa na mtoto ana umri unalinga na mumewe na kwa sasa wana mtoto mmoja (kama mjukuu vile) maisha yanasonga vijana ajira hakuna wanahitaji maisha ya juu magari ya kifahari pesa no wanajibanza popote maisha yanasonga lol
 
Wivu tu,hamna kinginecho...unataka atafute kazi ajipatie pesa ili akuhonge wewe?wanawake wana tabia ya ubinafsi,wanapenda wathaminiwe na kudekezwa wao tu na ndo maana hata tunapokuwa vyuoni tunapewa boom sawa sawa lakini mnatunyonya sisi wanaume tuwahudumie kila kitu,ukome na hakatwi mtu hapa!
 
NILISHASEMA na naludia tena kusema hiki kizazi cha digitali ni hatari tupu.vingamuzi kibao ni wewe tu unataka cha aina gani?
 
All these is becouse of frustrations, umeolewa na mume ndio yuko busy with that small ladies like that, wakati you have everything accept that!!! na wadada nao siku hizi kwani lazima uwe na more than one affair? manake ni kama kitu cha kawaida nowdays, uwe umeolewa hata wasio olewa ndio balaaa, 7-10 men ni normal.
 
kipi Bora Kijana atoke na Jimama AU Kijana atoke na Babu (kwa kuliwa 0655?)
 
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.

Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!

Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.

Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
Aisee,, ningempata kama uyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom