likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,091
WIVU HUO
Vya bure na mapenzi wapi na wap?Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji108]kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????
kweli kunyata anyate paka...akinyata kicheche ohh anavizia kuku hata kama alikua anafanya mazoezi...Au kupanda apande mbuzi...akipanda punda tu ohoooo kaua. hii misemo yote nimeiamini....
hivi dada zetu mnavongonoka na wazee umri wa babu zenu... hamuyaoni????????????
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
Wiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
KWA HYO TATZO NINI KAMA WAMEPENDANA....HALAFU SIKU ZOTE MKUBWA NDIO ANAKUA NA HELA ZA KUMSAIDIA MDOGO...............MWACHE DOGO APATE URITHI WAKEWiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
Na huu usawa wa uncle magu ajira hamnaWiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
Wanapatikana wapi hao sugar mummy,niwe nae kwa mudaSugar mummy wapo tena wengi tu, na ukweli ni kwamba huwa nakereka sana kusikia kijana mwenye nguvu zake na akili zake timamu anawekwa ndani na sugar mummy na kuanza kuhudimiwa, kweli huwa nasikitika sana maana mchezo huwa ni sawa kabisa na kijana kushindwa kujitambua kuwa yeye ni nani ana wajibu gani katika jamii iliyomzunguka.
Mwanaume ni kichwa na kiongozi wa nyumba kwa mujibu wa vitabu vya dini, na kitendo cha kuikataa hadhi na heshima uliyopewa ya kuongoza nyumba, inaweza kumuingiza mpaka kwenye hatari ya kwenda kuwekwa kimada na mwanaume mwenzake endapo hilo jimama litampiga chini na akakosa shughuli ya kumpa kipato. tabia hizi huwa wafanya vijana wa namna hii wabetweke na kugeuka watu wa kupenda starehe na kutunzwa bila kujishughulisha. Huu ni uanaume wa aina gani huu?
Nakushukuru kwa kulizungumzia hili suala. Ni aibu vijana, hebu tuache upuuzi huu, na tufanye kazi na kula kwa jasho la mikono yetu wenyewe.
watu8, rafiki yangu na ndg yangu wa karibu, ukweli ni kwamba si kila jambo tunaweza kulinganisha kwa wanawake na wanaume. Suala la mwanaume kuoa binti mdogo si sawa na kijana kwenda kuoa mama mtu mzima. Kiutamaduni na kiimani tangu enzi na enzi hali ilikuwa hivyo. Lakini huo mchezo ulioingia sasa wa vijana kuoa mijimama, si kwa sababu ya mapenzi waliyonayo kwao, bali kuwageuza hao miradi. Na hii imewafanya baadhi yao kuwa wazembe, wavivu na watu wasiojituma kwenye kazi. Wamepoteza hadhi na sifa za kuwa wanaume jambo ambalo ni hatari sana.
watu8 sijui wanawake watawaza nini, lakini ktk hali hii, wanawake ni haki yao kutunzwa na wanaume. Mwanaume ni lazima awe mkuu wa nyumba na mtunzanji na mlinzi wa hiyo familia. Mwanamke anaweza kumtunza mwanaume tena hasa wa ndoa lakini si kwa staili hii ya vijana kutunzwa na mimama.
HahahaWiki ilopita nilialikwa kwenye sherehe flani ya kuzaliwa(b'day) ya kijana mmoja hapa mtaani kwetu.Huyu kijana ni graduate amemaliza chuo this year hajapata kazi bado.
Niliskia tu story zake kuwa anatoka na sugermamy mmoja mwenye mihela yake nikawa sijaamini,kweli ujana maji ya moto! si ndo muda wa zawadi ukafika aiseee nikamwona mmama mtu mzima kasimama kachukua maik na kusema 'namzawadia mpenzi wangu gari' ,kijana yupo hightable anachekacheka tu utadhani binti anayefanyiwa kitchen party! hata aibu hana Loh!
Akakabidhiwa funguo ya gari na hilo limama na mahela juu kama miss Tanzania! Kijana meno 32 yote nje! ......daaah! Kwa staili hii ukimwi utaisha kweli? Kwasababu siamini kama huyo mama ana huyo kijana pekee lazima atakuwa na mume au mibwana mingine ! Na kijana naye atakuwa tu na agemate wake.
Aisee sijui kwanini nimesikitika hivyo! so,vijanaa!tafuteni kazi Fanyeni kazi msipende vya bure jamani acheni kutembea na mama zenu mnajidharirisha ohoo mtakufa siku si zenu shauri yenuu ! ...ntarudi!
HahahaNa huu usawa wa uncle magu ajira hamna
...afu furusa kama iyoo ikukute umepigika mtaan upo jobless utaanzaje kukataa ...