kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

If you don't mind naomba nijibu kama ushawahi penda.....
nilishawai kupenda sis tena sana with all my heart na uaminifu na uvumilivu wa 100% kumbe alikuwa ananiienjoy akanimwaga hata sijui kwanini?
and the list goes on why me? nimechoka wapo wababa wa maana tu wananitaka natoka hapo na mmoja nimechoka
 
Smile bana pole sana soma hii "Men are Hunters by nature" So habari ndo hiyo utachukia wangapi???
kuna kizazi kinajiona sana hata kama ni dhambi acha tu nitoke na hata kama ni babu zangu potelea mbali maisha ni haya haya
 
najipenda sana na ndo maana nimeamua hvo acha moyo wangu upumzike kidogo
That's the best solution dear. Stick on it and let none to move you away from there, at least for a middle term period.
 
nilishawai kupenda sis tena sana with all my heart na uaminifu na uvumilivu wa 100% kumbe alikuwa ananiienjoy akanimwaga hata sijui kwanini?
and the list goes on why me? nimechoka wapo wababa wa maana tu wananitaka natoka hapo na mmoja nimechoka
hii dhamibi unayotaka kuifanya hutasamehewa kamwe!
 
heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali

Pole mrembo lakini usikate tamaa wazuri wapo sema wachafuzi na wachokowaji roho za watu wapo wengi,nakubaliana nawewe ukimpata mtu mzima wamakamu mbona raha nilisha wahi jaribu yani utadekaaaaa.....
 
mungu atanisamehe kwa sababu hata yeye anaona sababu
Usiwe na pupa Smile,
mzee hatakupeleka popote...kumbuka na huyo mzee lazima anaye wakwake..
badala ya kuwa unatatua matatizo, utakuwa unayaongezea zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kuvuta subira, you are still young...
 
Pole mrembo lakini usikate tamaa wazuri wapo sema wachafuzi na wachokowaji roho za watu wapo wengi,nakubaliana nawewe ukimpata mtu mzima wamakamu mbona raha nilisha wahi jaribu yani utadekaaaaa.....
hata mimi nimefanya research nikaona hvo nizae watoto wangu watanisaidia huko mbeleni
 
heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali

Heeeee, kumbe hata nawe shoga umeona, mh! mie nilishafanya uamuzi kitambo, siku hizi masharobaro wamebaki kukodoa mimacho tu, hawanihusu ndewe wala sikio!
 
Usiwe na pupa Smile,
mzee hatakupeleka popote...kumbuka na huyo mzee lazima anaye wakwake..
badala ya kuwa unatatua matatizo, utakuwa unayaongezea zaidi. Unachotakiwa kufanya ni kuvuta subira, you are still young...
haina shida nitavumilia hvohvo wewe subiri nitakutambulisha wiki hii sitanii
 
Heeeee, kumbe hata nawe shoga umeona, mh! mie nilishafanya uamuzi kitambo, siku hizi masharobaro wamebaki kukodoa mimacho tu, hawanihusu ndewe wala sikio!
mbona hukunishtua jamani naumia tu huku na masharo
 
tired bored

pole sana, pumzisha akili kwanza. Vijana kweli wanasumbua maana akili zao wengi zinakuwa hazijakaa kimaisha. Watu wazima nao wapo watu wazima hovyo pia unaweza fanywa kismall house- kitu ambacho kinaweza kukukosesha furaha vile vile. Ila bora mtu mzima kule masharobaro meeen.
 
haina shida nitavumilia hvohvo wewe subiri nitakutambulisha wiki hii sitanii

We binti hebu usilete maskhara....hheeeee, mbona haraka namna hiyo kama treni ya umeme? Unanifanya nikumbuke kisa cha "Mbio za Sakafuni"

Hebu tulia kwanza uweze kurudi na uwe that REAL SMIL (i mean YOU) na utapata maamuzi ya maana...SIKU ZOTE OGOPA KUFANYA MAAMUZI KWA MAMBO MUHIMU YA MAISHA YAKO WAKATI MOYO WAKO UKIWA KWENYE MSHUKO
 
heri nitafute lizee nizae nalo hata watoto wangu watakuja kuniangalia huko mbeleni potelea kule sitaki tena nimechoka nije kufa pressure mtoto mdogo mimi wazazi wangu wamenisomesha kwa shida kwanza nife nini kisa mapenzi
Kwenye mapenzi, umri si chochote zaidi ya nambari tu, na kama umeamua hivyo, poa. Hata hivyo, hakikisha hufanyi kosa la kutotafautisha mapenzi na mahitaji. Kabla ya kuchukua uamuzi zingatia yafuatayo:

- Huyo "kijana wa zamani" anakupenda au anakutaka? I mean, ikiwa anakupenda mtaenda sambamba hadi mwisho wenu, lkn ikiwa anakutaka tu, punde atakuwacha atafute mwengine, wapo wengi na pesa za kununulia anazo.

- Anataka watoto na yuko tayari kuwahudumia?
- Kwa wastani, wazee wanakufa kwanza kuliko vijana (ukiwachia mbali mipango ya siri ya Mungu), utakuja wezaje kulea watoto peke yako wakati mzazi mwenzako akishaondoka?

Kwa ufupi, jipe muda kufikiri zaidi na zaidi kabla ya kuamua kwa hasira. "Anger is the worst counseller".
 
We binti hebu usilete maskhara....hheeeee, mbona haraka namna hiyo kama treni ya umeme? Unanifanya nikumbuke kisa cha "Mbio za Sakafuni"

Hebu tulia kwanza uweze kurudi na uwe that REAL SMIL (i mean YOU) na utapata maamuzi ya maana...SIKU ZOTE OGOPA KUFANYA MAAMUZI KWA MAMBO MUHIMU YA MAISHA YAKO WAKATI MOYO WAKO UKIWA KWENYE MSHUKO
maisha ni haya haya mkuu hamna cha kesho wala nini mimi below 40 mimi ni no mimi na wazee tu heri nifaidi hata mahela
vijana hela hawana na mapenzi hawana wa nini heri wazee unafaidi vyote
 
Jamani kaushauri tu kadogo kwa dada zangu (sio lazima kuwa relevant sana na case ya Smile)

Muwe makini na kupenda vijana wa kiume ambao hata akili ya kimaisha hawana na wala akili zao hazioneshi kuwa tayari kubeba majukumu....mtu amekaona kavulana kazuri (mnaita handsome nasikia wengine mnasema sharobaro) na kwa sababu kanapendeza kutembea nako barabarani basi unajiachia jumla jumla na kumwagia hadi sakafu ya mtima wako wakati kenzako kana waza kwa uono sawa na mwisho wa tumbo lake

Watch out mtaishia kuumia sana jamani na si jambo jema
 
Kwenye mapenzi, umri si chochote zaidi ya nambari tu, na kama umeamua hivyo, poa. Hata hivyo, hakikisha hufanyi kosa la kutotafautisha mapenzi na mahitaji. Kabla ya kuchukua uamuzi zingatia yafuatayo:
- Huyo "kijana wa zamani" anakupenda au anakutaka? I mean, ikiwa anakupenda mtaenda sambamba hadi mwisho wenu, lkn ikiwa anakutaka tu, punde atakuwacha atafute mwengine, wapo wengi na pesa za kununulia anazo.
- Anataka watoto na yuko tayari kuwahudumia?
- Kwa wastani, wazee wanakufa kwanza kuliko vijana (ukiwachia mbali mipango ya siri ya Mungu), utakuja wezaje kulea watoto peke yako wakati mzazi mwenako akishaondoka?
Kwa ufupi, jipe muda kufikiri zaidi na zaidi kabla ya kuamua kwa hasira. "Anger is the worst counseller".
kila mtu anakufa bwana awe mzee au kijana hata watoto wachanga wanakufa mbona? sijali nitawalea watoto wangu mwenyewe mwenyewe
 
pole sana, pumzisha akili kwanza. Vijana kweli wanasumbua maana akili zao wengi zinakuwa hazijakaa kimaisha. Watu wazima nao wapo watu wazima hovyo pia unaweza fanywa kismall house- kitu ambacho kinaweza kukukosesha furaha vile vile. Ila bora mtu mzima kule masharobaro meeen.

Da, Husninyo kwan hujui ki-small house chafaidi kuliko nyumba kubwa, tuacheni sie, tushafanya maamuzi, tena mepesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom