Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
496
Reaction score
615
Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na kupoteza maisha ila pia wamekua na kero kubwa sana kwa vyombo vingine na watumiaji wengine wa barabara.
Ningeshauri mamlaka husika kuweka taratibu kama ilivyo kwenye mabus ya abiria basi kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini au mipaka yao ili kuzuia kero nyingi kwa wanachi wengine. Pia kwa waendesha vyombo hivo hususani vijana kama ni ajira wamejiajiri wachukulie umuhimu wa kazi zao kwa kufata sheria stahiki za barabarani.
 
Wajinga kama serikali yenu
Unataka hao vijana wakale wapi au sababu wewe umeshiba wenzio walale njaa
Solution ni kuwapa hao vijana kazi kama utawaona kwenye bodaboda
 
Waendesha vyombo vya moto especially bodaboda(100%) ,bajaji(100%) na daladala(60%) wapewe elimu ya kuendesha hivyo vyombo ,% nilizoweka hapo wanahitaji full elimu ya barabarani ,wengi hawajui sheria za barabarani ,wao wanachojua kuwasha kuweka gia ,kunyoosha sterling na kuwasha hazard tu.
 
Pale Lugalo kuna eneo kubwa tu la Wamachinga kupanga biashara na kujipatia ridhiki. Mbona hawapangi?

Tuache kuvunja sheria in the name of tunatafuta ridhiki.
 
Kuweka mipaka itakua ngumu mkuu wapewe elimu na nguvu iwekwe kuwajibisha wavunja sheria na wanaoenda kinyume na taratibu za kazi zao.. ila bajaji khaa...
 
Bajaji siku hizi zinafika mjini? Na je zinapakia abiria kama daladala?
Ni kama dala dala tu zinapakia na kushusha mahali popote
Waendesha vyombo vya moto especially bodaboda(100%) ,bajaji(100%) na daladala(60%) wapewe elimu ya kuendesha hivyo vyombo ,% nilizoweka hapo wanahitaji full elimu ya barabarani ,wengi hawajui sheria za barabarani ,wao wanachojua kuwasha kuweka gia ,kunyoosha sterling na kuwasha hazard tu.
Sahihi kabisa nadhani upatikanaji wa leseni pia umekua rahisi watu wanapata bila kupitia driving schools
 
Ni kama dala dala tu zinapakia na kushusha mahali popote

Sahihi kabisa nadhani upatikanaji wa leseni pia umekua rahisi watu wanapata bila kupitia driving schools
Inasikitisha yaani mimi natumia huo usafiri nikiwa town ,yaani wengi ni weupe peeee ,mimi ndiyo nawaelekeza sheria za barabarani yaani hawajui kabisa hadi unajiuliza huyu jamaa mbona anajiendea tu bila kufuata sheria za barabarani? Yupo kwenye two lanes(same direction) halafu unaliona limeganda kulia linatembea na speed ya kobe....Namwambia ebwana ebu angalia kwanza usalama wako kisha rudi kushoto ,ukiganda kulia unaweza kusababisha ajali ,ukiwa kwenye hizi barabara kwa usalama wako kaa kushoto then una overtake kulia then unarudi tena kushoto.
 
Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na kupoteza maisha ila pia wamekua na kero kubwa sana kwa vyombo vingine na watumiaji wengine wa barabara.
Ningeshauri mamlaka husika kuweka taratibu kama ilivyo kwenye mabus ya abiria basi kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini au mipaka yao ili kuzuia kero nyingi kwa wanachi wengine. Pia kwa waendesha vyombo hivo hususani vijana kama ni ajira wamejiajiri wachukulie umuhimu wa kazi zao kwa kufata sheria stahiki za barabarani.
Hatari sana
 
kuna kamanda wa polisi upande wa trafiki walikua wanahojiwa siku mbili hizi na media moja(jina sikumbuki maana ilikua fastafasta) makamanda wamesema bodaboda hawajawashinda wakiamua.
hapo mada kuu ilikua mambo ya kufata sheria za barabarani na kadhlika, sasa kama jambo tu la kufata sheria za usalama road , makanda wale ni kama wanasema bado hawajaamua licha ya mvurugano wote unaoendelea barabarani.

hilo la kuweka taratibu hizo itakua mzigo mkubwa sana kwao
 
Unapiga marufuku hiace (vipanya) vinavyobeba zaidi ya abiria 15 kuingia mjini badala yake unaruhusu boda na bajaj kufurika mjini! Watunga sera wetu wanachekesha kweli!
 
kuwe na idadi maamulu ya vyombo hivo kuingia mjini
moja ya sifa ya binadamu ni ubinafsi.
kwa nini yasizuiliwe magari mengine yasiwe kewe ukomo ili yombo vya usafiri ikiwemo boda boda na bajaji viruhusiwe.
 
Back
Top Bottom