Kuna mapengo hayazibiki🥹

Kuna mapengo hayazibiki🥹

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
8,905
Reaction score
21,310
Kuna mapengo hayazibiki… 🥹

Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?

Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.

Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi

Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
 
Yeyote aliye chini ya hii dunia anareplecika vizuri tu, acha kujiendekeza. Find a way 😁

Kazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
 
Hawa wawili hawawezi ku replacika binti 🥹 nika ma vile hakuna mbadala wa mama, wala wala baba ,wala watoto
Hao wawili wapo kwenye kundi hilo
Kazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
Na mimi nahisi hivyo ni kama jana tu
 
Yeyote aliye chini ya hii dunia anareplecika vizuri tu, acha kujiendekeza. Find a way 😁

Kazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
Depal heri yao waliolala kuzimu maana mwendo wameumaliza na hawana maumivu tena!
 
Kuna mapengo hayazibiki… 🥹

Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?

Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.

Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi

Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
Deep down the human heart💖
Touched by a loving caring hand..!🤌🏿
Chords that are broken..💔... Will vibrate once more..💓💗💥
 
Kuna mapengo hayazibiki… 🥹

Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?

Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.

Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi

Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
Huo ndio wakati sahii Zaid wakuwa na Mungu,na kumuomba akukutanishe na marafiki wengine walio wema zaidi,na kuwombea pumziko jema wapendwa wako uko walipo,hakika wapo kwenye ufalme wa bwana,wala usihuzunjke! Kesha ukiwaombea kwa Mungu wa mbinguni!! Amen Amen!

Mungu atakuletea walio Bora zaidi,na hao atawainua Zaidi huko walipo, amen Amen! .....Sadaka yako ni muhimu tuitangaze injili ya bwana! Barikiwa sana!
 
Kuna mapengo hayazibiki… 🥹

Umewahi kukaa mbali na mtu au watu uliowapenda sana? Ilikuchukua muda gani kukubali kwamba wapo mbali, na pengine inaweza kuchukua muda kuwaona tena au hata kutowaona kabisa?

Leo tarehe 2 imetimia miezi 4 bila kuwaona wapendwa wangu wawili. Nawapenda sana wanaishi ndani ya moyo wangu Lakini bado nahisi ni kama jana tu tulikua pamoja.

Kadri siku zinavyoenda, ndio naelewa kwamba kuna baadhi ya mapengo hayazibiki kirahisi

Wewe umewezaje kuendelea na maisha yako bila kuumizwa sana na umbali au utengano kati yako na watu uliowapenda?
Fanya kama ulipendelewa tu kuwa na hao watu, lakini wote tutafariki.

Ni muhimu kukumbuka, lakini focus kwa waliobaki na maisha yanayoendelea.

Na humo humo katika kufocus kwa waliobaki na maisha yanayoendelea, unaweza kupata namna ya kuwaenzi waliotangulia.
 
Back
Top Bottom