kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali

Mmh< aisifuye mvua....., kaza buti matatizo hayaendi kwenye miti ni watu na watu wenyewe ndio sisi na wewe ukiwemo.
 
never again endeleeni kuuza zenu sura huko

Anyway, you should not think like there is no life without love. Why don't you try to be you. Keep fighting on your own but avoid being in a relationship for something like the way you plan.
 
heri nitafute lizee nizae nalo hata watoto wangu watakuja kuniangalia huko mbeleni potelea kule sitaki tena nimechoka nije kufa pressure mtoto mdogo mimi wazazi wangu wamenisomesha kwa shida kwanza nife nini kisa mapenzi

NiPM for a mohter-daughter diskashen
 
Jamani kaushauri tu kadogo kwa dada zangu (sio lazima kuwa relevant sana na case ya Smile)

Muwe makini na kupenda vijana wa kiume ambao hata akili ya kimaisha hawana na wala akili zao hazioneshi kuwa tayari kubeba majukumu....mtu amekaona kavulana kazuri (mnaita handsome nasikia wengine mnasema sharobaro) na kwa sababu kanapendeza kutembea nako barabarani basi unajiachia jumla jumla na kumwagia hadi sakafu ya mtima wako wakati kenzako kana waza kwa uono sawa na mwisho wa tumbo lake

Watch out mtaishia kuumia sana jamani na si jambo jema

ahsante kwa ushauri. Wenye masikio tumeskia.
 
haya yote bwana mwayaleta nyie wenyewe wanwake...hapa mngekuwaga mwakubali ukweli kuwa vijana wanataka kuchakachuana tuu bila macomitment ya kijinga hapo wala kusingekuwa na broken hearts...ila it is women being adamant that men should full commit to them that leads so called vijana kuwadanganya na baada ya kuonja tunda kusepa na kuwaacha na broken heart. hawa ni vijana they no little if anything abt serious commitent let alone love!!!
 
ahsante kwa ushauri. Wenye masikio tumeskia.

Bora mwaya wewe mama umesikia....maana wenzako wanakimbillia hivyo sijui ndo visharobaro (havina mbele wala nyuma zaidi ya kuuza tu) halafu vikiwaumiza vinakuja vinalia lia na kutengeneza universal principles za kiajabuajabu about men
 
Pole sana kwa kuteseka bt km vp hiy chanc nipatie mm huenda tukamatch mana hat na mm nishachoka kuteswa na mijanajike icyokuwa na real love.so kwa kuwa tunashare the same experience lets b togethr then,I promic u that u will nvr regret
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom