Kuna ile thread uliyoiacha love-connect yenye masharti kibao,kwanza nimeipenda picha hii kwenye avatar yako,hata kama sio yako inatujuza we ni mtu wa aina gani kwa kuichagua,pili mimi niko over 40 na ukitaka nitakutumia cheti cha kuzaliwa tena cha Tanganyika meaning before 1964.heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali