Mapenzi ya mbali yanaumiza moyo sana

Mapenzi ya mbali yanaumiza moyo sana

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,703
Reaction score
19,589
Kipindi nilikuwa naishi Tanzania, kabla sijatimkia huku Tunisia, nilipata bahati ya kuwa na mapenzi ya mbali

Mimi nilikuwa naishi Dar nikampata mwanamke anaishi Moro. Lile penzi kwa kweli lilinitesa sana moyo unataka umuone halafu inashindikana.

ilikuwa kasheshe.
 
Uvivu tu sasa dar to Moro Kuna umbali Gani kwa mtu aliyependa?

Yan ukiamka tu na kibaiki chako saa sita mchana Tyr upo msamvu mnalishana mihogo na chachandu
 
Uvivu tu sasa dar to Moro Kuna umbali Gani kwa mtu aliyependa?

Yan ukiamka tu na kibaiki chako saa sita mchana Tyr upo msamvu mnalishana mihogo na chachandu

kila kitu ni chepesi tu unaona,watu huteseka bure
 
Ni upuuz wa hali ya juu kua na mahusiano ya mbali na hasa kwenye ndoa binafsi niliojifunza ni mengi kupitia mahusiano ya namna hio enyi vijana kaa na ndoa yako au mahusiano yako karibu akienda mbali piga chini, kwenye bustan tulioneshwa dakika zero tu kiumbe akala tunda sasa kwa ulimwengu huu wa sasa mambo yakoje. Awali tulikua tukishuhudia weupe (wakiishi na paka na mbwa tu kama wafariji wao) tulidhan wajinga ila kwa mimi kuoa tena na kuruhusu akar mbali hapana, nitaishia kutoa mba tu basi nasivinginevyo wanake nishawanyooshea mikono
 
Tamba sasa na watunisia maana bongo pamezingua.Usijisumbue sana unaona russia guy ameingia kenya akapavuruga,kwa md mchache.sasa jivuze kiarabu naon venye kaz itakuwa rahisi.
 
Back
Top Bottom