kweli mapenzi ya vijana yanautesa moyo

heri nitafute lizee nizae nalo hata watoto wangu watakuja kuniangalia huko mbeleni potelea kule sitaki tena nimechoka nije kufa pressure mtoto mdogo mimi wazazi wangu wamenisomesha kwa shida kwanza nife nini kisa mapenzi

Mwanaume hana umri hao wazee wenyewe tegemea nao kukuumiza.Kwanza hautakuwa na raha nae,mapenzi ya kujificha usikamatwe na mkewe.Utatafuta matatizo zaidi.Tulia ipo siku mwenye ubavu wake atakutokea.
 
Hata watu wazima nao wapo hovyo atakwambia afadhali hata mama fulani kuliko wewe

Kuna rafiki yangu alinilalamikia kwamba kibabu chake kiliwahi mwambia nawadharau na kuwachukia wanawake wanaotembea na waume za watu.Bibie alibaki kuumia kichinichini tu.Vibabu vina pesa lakini dharau kwa sana
 
na vijana wana dharau kwa sana na hawana kitu acha iwe mbaya mama mkwe silii tena
 
hasira hasara, utapata kesi za mauaji na hivyo vizee vya viagra, huwa vinafia kifuani, shauri yako...........
 
Pole sana mamito,
Nakushauri jipe mda utulize akili kwanza,
Amini usiamin hauko peke yako,kila aliyewahi kupenda alishawahi kuumizwa pia au ipo siku ataumizwa pia,
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira za mapenzi yanaweza kukusumbua mbele ya safari,
Hata hao wababa ni binadamu pia na sio wote ni wengine ni washenzi tu,km wanawasaliti wake zao na kuwaumiza itakuwaje kwako mamito?
Plz fikiria upya maamuzi yako na ujipe mda wa kufikiria na kumwomba mungu akukutanishe na mkweli bila kujali umri,
Usikate tamaa,mwombe mungu hakika ipo siku haya yote yatabaki kuwa historia,u wii b happy again dia.
 
Tatizo la wazee kila wakati lazima ajue ulipo na dreva wake utakuwa naye all the time he needs you
 
hii kitu ajabu sana. ndemu akitemwa inakuwa ishu kweli, lakini akitemwa kidume jamii inaona ni kawaida sana including ladies wenyewe. Nimekumbuka kale ka stori ka mwl jk, kwamba mtu akimla papa wala sio habari, kasheshe ngoja papa amle mtu, kama ni ufukwe utafungwa kwa muda.

when you get into love affairs do not expect sympathy from your counterpart
 
'wanaume tumeumbwa kuwafaidi wanawake' maana wako wa sampuli tofautitofauti na hapo ndo ugonjwa unapoanzia
 
heri niwakubali hawa wazee wanaonitongoza nitafaidi hata mahela kuliko kuendelea kudanganyika na hawa vijana na kuumia moyo kila siku potelea mbali

Pole dada angu,lakini unadhani wazee mbali na kupata mihela utakuwa na uhuru na mapenzi ya dhati?Muombe Mungu akupe chaguo lako, maana mume na mke mwema hutoka kwa bwana, mimi naona wewe bado Mungu hajakupatia chaguo lako, so be patient dont rush,otherwise watakuvua chpi na kukupatia vijisent for only first time, then they go. ONLY PRAYING CAN SUFFICE UR NEEDS
 
nitamuomba mungu anisaidie kumlinda mzee wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom