Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Jaman za jioni?

Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....

Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.

Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.

Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.

Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
.....Ila sitataka mazoea😆😆Malipo hapahapa duniani.
 
Hata wanaume wapo wengi ni namna tu unavyoiweka akili yako. Kifupi mapenzi sio swala LA kupotezeana muda. Unaelewa twende huelewi kausha. Sio mtu analeta pozi za kiwaki
Hakunaga wanaume wengi hata siku moja, wanawake ndo wengi, Kuna wanaume mashoga, Kuna wanaume wazee ambao hawadindishi vzr na Kuna wanaume mahanisi hawadindishagi kabisa.

Hao tukiwatoa kwenye kundi la wanaume tunabakiwa na wanaume wangapi???

Afu pia skuizi wanaume wanatumika role zote, na wanazimudu, anaweza akawa wa kike na hapo hapo wa kiume, Kwa hapo Tena mwanamke Hana umuhimu kivileeeeee, thamani ishapungua.

Ko wanawake msijishahue sana kaeni Kwa kutulia, mpo wengi sana na wanaume ni wa kuhesabu na Bado wanazidi kupungua
 
Hujanielewa
Kwamba pamoja na hizo perception na data kwamba wanaume ni wachache still huku mitaani hawajawahi kupungua na Maisha yako normal tu. Hakuna aliyekosa wa kumsitiri akiamua.
Tumekuwa tukifundishwa kwamba resources are scarce basi muongezee na hyo kwamba men are also scarce
 
Mitaani huko hata kina anko t wanajifanya wanaume, huwezi wagundua kirahisi.
 
Life bhn is very unfair kabisa b...ro langu nataka nimpe mwingine yeye analeta maringo harafu Kuna wengine wanalilia mimi ndio siwaelewi😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom