Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kwenye mahusiano, hakuna jambo muhimu kama kuwa mkweli/muwazi kwa mtu

Ikitokea hujamwelewa mtu, vyema kumwambia ukweli ili asiwe na matumaini ya kuwa nawe, lakini kutompotezea muda wake pia

Vijana pia wana ile michezo ya sitaki nataka

Hela yako anaitaka lakini kutoa mchezo ndiyo unakuta anajizungusha

Wengine huenda mbali zaidi kwa kuanza kuhudumia akiwa na matumaini kwamba atakuwa mke mtarajiwa, baada ya jua kuzama holaa

Nimependa ulivyo mkweli kwake, you told him straightforward ili naye apime maamuzi yake
 
Ukweli muhimu Sana af utapeli wa mapenzi sio dili kabisa. unamchana tu mtu kibishi.
Af me pesa najua kuitafuta pia..
Hata kama ni ndogo ndogo Ila sio tegemezi kiviiile...
 
Hilo ni muhimu sana, msichana ukiwa mkweli na umenyooka lazima upate mtu sahihi

Kwa hizi tabia za wanawake wetu wa kibongo, ndiyo maana wengi hawezi kutoa kuwa kwenye mahusiano na races za wenzetu

Huku mtu mnakubaliana kabisa mtaonana saa fulani, anaomba na nauli kabisa, kuja haji anaanza sababu zake zisizo na kichwa wala miguu

Kama huna hizo njaa ndogondogo, ndiyo vizuri zaidi
 
Kwenye mahusiano, hakuna jambo muhimu kama kuwa mkweli/muwazi kwa mtu

Ikitokea hujamwelewa mtu, vyema kumwambia ukweli ili asiwe na matumaini ya kuwa nawe, lakini kutompotezea muda wake pia

Vijana pia wana ile michezo ya sitaki nataka

Hela yako anaitaka lakini kutoa mchezo ndiyo unakuta anajizungusha

Wengine huenda mbali zaidi kwa kuanza kuhudumia akiwa na matumaini kwamba atakuwa mke mtarajiwa, baada ya jua kuzama holaa

Nimependa ulivyo mkweli kwake, you told him straightforward ili naye apime maamuzi yake
Sema mzee baba na wewe kwa kushusha waraka 🤣🙆‍♀️
 
Mimi sitongozagi mara mbili, nikikutongoza ukizingua imeisha hioooo, na tukianza kudeti sikutafuti mara mbili, ukizingua nakaushaaa utantafuta mwenyewe

Uniombe pesa mimi, kukuhudumia nikuhudumie Mimi then nikutafute wa nini???? wa kazi Gani?????.

Usiponicheki wewe imeishaaaa hiyo watanicheki wengine.

Afu sibembelezagi mwanamke, wanawake wapo wengi sana na wanaume tupo wachache sana na hapo Bado hatujawatoa mashoga na wazee wasiodindisha.

Asaivi mtoto wa kike ukitongozwa ukakataa anayekutongoza harudi Tena.
Mkuu una mke au mpango wa kuwa na mke?
 
Hata wanaume wapo wengi ni namna tu unavyoiweka akili yako. Kifupi mapenzi sio swala LA kupotezeana muda. Unaelewa twende huelewi kausha. Sio mtu analeta pozi za kiwaki
 
Nitongozee Kwa cocastic basi, mi hakanielewi atii! hako kademu nakamanda kinoma sijui nifanyeje tu?
 
Yule mkaka wa watu wala hakuwa na madhaifu kihivyo alinipenda kweli sema alipenda wakat akili yangu haipo kwenye kupenda mtu
Kwa hiyo siku mlipokutana hakukupeleka mpaka Mawenzi ni cha awali, Kibo kilele cha pili!
 
Mapenzi hayajui ubizee wewe sema tu una uzoefu wa muda mrefu
Sasa ndo usikariri Maisha. Kama una majukum yanayokuweka busy utalia saa ngap? Ni rahisi kusahau na kuangalia ya mbele. Yan mda huu nimerudi nakiwaza kitanda tu sio mtu maana siku nzima nimekuwa kwenye kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom