Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Dhana ya malipo ni hapa hapa huielewi eeh? Analipa Mungu sio sisi wanaume, na Mungu ili alipe anaangalia ya moyon mwako. So angevizia jamaa akosee ndioo amuache ila nayeye lazima tu angekutana na mshahara wa Mungu😃 yaleyale
Ni kheri, kuliko kumnyamazia ghafla na mtu hajui kosa lake.
Afu Mungu hajafanya malipizi kwenye uasherati.. anasingiziwa mengi 😀
 
Jaman za jioni?

Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....

Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.

Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.

Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.

Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
Huenda hayajakukuta. Huenda ni wasiwasi wako tu cacutee.
Jipe subira.
 
Niko busy nauza juice
Nitarudi
Sema nini; ile freezer sijapata bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom