Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kweli malipo duniani, ahera kuhesabiwa

Kweli maonevu makubwa kukatishwa!

Mi nikipigwa chini kwa kushitukizwa namba hiyo huwa najisikia maumivu kama yale ya kuachishwa kunyonya ziwa la mama nikingali ndogo.

Nasikia nilizua timbwili hadi akapaka kinyesi cha kuku nikaona kinyaa nd'onikatulizana, palikuwa hapatoshi!
Maumivu ya kulazimisha mapenzi ni makali kuliko ya kuachwa. Kubali kuachwa songa mbele kwa Imani. Ukishaona mtu anakutungia makosa hata kwa ishu zisizo za msingi jua huhitajiki.... We jikatae tu hata kama unaumia
 
emoji706.png
Wala hata Sina shida ya kukuchezea, mtoto mzuri pliz njoo basi
[emoji706]
 
Attachments

  • 9b611a4b82cd9f60511f16cba9d3ad5a.mp4
    3.1 MB
Sasa mid 30 na 50 ni mbaya
But umesema yeye yupo 50, si ndio?🤔 Age matters in the relationships because it affects how you make plans and decide on out comes.

Sasa mwanaume wa miaka 50 kwenda juu akikutana na mwanamke below 35 hapo jua mwanamke ataanza tu kujipanga kubeba chake mapema tu sababu there's a lot of complications involved.
 
48 bado Sanaa ila hata ingekuwa 50 bado Nina haki ya kupenda na kuamua kutokupenda . Kumkataa mtu sio kumnyanyasa ni kumpunguzia maumivu mbeleni. Ndo maama nilipoona sihitajiki kwa mwamba nikawa nimeelewa tu kiroho safi bila kinyongo.
Since unachagua wanaume at this point,what is your goal?🤔

I mean ni aidha unafuatwa sana na wanaume ,both sahihi na wa hovyo wakitaka mahusiano na wewe una decline au unafuatwa na wanaume wa hovyo wasio na sifa ya kuanza mahusiano na wewe katika umri uliopo and therefore unahangaika kujinasua ?

What is your story? And je unaweza kuwa specific na swala la umri wako,no need ya kuficha umri kwenye discussion kama hizi.
 
Wewe me sio 45 Niko mid 30 punguza waraka
 
Ukijiona sasa hv huumii kwenye mapenzi, ujue kwisha ww 😎
Wanazingua bwana
The most painful moment imenifanya niwe sugu siumii sana kupoteza yeyote ni vile nilipoteza mzazi. Kwamba kama mzazi aliniacha nikaumia Nika survive hawa wengine ni maji tu. Yani pale Ndo nilipoona kumbe kupoteza kwenye mapenzi ni nothing....
 
Pole sana, karibu kwangu tuyajenge labla ww ndo nmeandaliwa
 
Alijua kulalamika asee alaf me nkawa sijali wala nini. Kama mwezi hivi analia Lia. Sasa nimekutana na mwamba kabisa yaleyale ndo yamenigeukia. Sema nini sijali wala nini
Mpaka umelileta hapa unajali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom