Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,054
- 110,646
Anamaanisha.....Me kizungu sjui mwenzio
Penye miti hakunaga wajenzi...🤣
Anamaanisha.....Me kizungu sjui mwenzio
Hatari sanaUsingenyamaza kimya ghafla.. ungemuwinda tu hawachelewagi kukosea hao, ungepata sababu ya kumuacha na ye akijua kaachwa
namaanish miss "sijali"Me kizungu sjui mwenzio
Mnadhani huwa tunawahitaji sana kuliko nyie mnavyotuhitaji..?
Hapo ndo huwa mnakosea.
Muombe Mungu dogo.Kibaya zaidi mabraza wanakwambia "hujapata tu anaekupenda" "mengine tunavumilia" "hujui kuchagua" "muombe Mungu".
Kabisa, unakomaa na hiyo mpaka kieleweke🤣Tunavumiliaga 😂 ila kiuhalisia wao ni wepesi kukosea, ukisema utafute sababu wala huikosi
Ushajijibu tayari. Tunahitajiana, hakuna kutegeana sasa, kila mtu awe real.Binadamu tunahitajiana.. 😀😀 huwezi tumia sabuni kila siku, zipo nyakati utahitaji utelezi 💦
Jidanganye.Tunavumiliaga 😂 ila kiuhalisia wao ni wepesi kukosea, ukisema utafute sababu wala huikosi
We una matatizo. Hii account ni ya Leo?View attachment 3588351umejiunga leo hii na leo hii umekuwa expert member.
MImi ilinichukua miezi 2 kuwa expert wewe leo hii hii.
vijakazi wa melo wamesha kula makebo apa
Matatizo hayaishi ,njoo unywe biaWe una matatizo. Hii account ni ya Leo?
Dhana ya malipo ni hapa hapa huielewi eeh? Analipa Mungu sio sisi wanaume, na Mungu ili alipe anaangalia ya moyon mwako. So angevizia jamaa akosee ndioo amuache ila nayeye lazima tu angekutana na mshahara wa Mungu😃 yaleyaleUsingenyamaza kimya ghafla.. ungemuwinda tu hawachelewagi kukosea hao, ungepata sababu ya kumuacha na ye akijua kaachwa
nikikununulia juice utakuja?Bia sinywi me nakunywa juice tuu
Nimemkumbuka mke wa mc pilipili, masikini ya MUNGU, alikua analringa huyo dada, kumpiga matukio mc pilipili, malipo yake Leo hii anampigia simu mwanaume, tena anambembeleza, wawe na mahusiano, sijui jamaa kaichapa kapiga chini demu Hadi ana Lia jamaa ana mrekodi anasambaza, Kuna maisha hua tunayachezea ila umri Fulani ukifika ndo majuto huanza, Kwa sasa umri una ruhusu, tunachukulia poa ila baadae VILIO kama lote
Mapenzi kwa zama hizi ukiamua kulia utalia Sana.Nimemkumbuka mke wa mc pilipili, masikini ya MUNGU, alikua analringa huyo dada, kumpiga matukio mc pilipili, malipo yake Leo hii anampigia simu mwanaume, tena anambembeleza, wawe na mahusiano, sijui jamaa kaichapa kapiga chini demu Hadi ana Lia jamaa ana mrekodi anasambaza, Kuna maisha hua tunayachezea ila umri Fulani ukifika ndo majuto huanza, Kwa sasa umri una ruhusu, tunachukulia poa ila baadae VILIO kama lote
Shangaa nawee,Miaka hii bado kuna watu wanalilia mapenzi? Huyo mshkaji itakua labda ni mara yake ya kwanza kupenda.