Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,143
- 55,140
Haya mambo nlishayasahau kabisa siku hizi ni nusu usela nusu mahusiano.Wapo wengi tu.
Haya mambo nlishayasahau kabisa siku hizi ni nusu usela nusu mahusiano.Wapo wengi tu.
🤣🤣🤣🤣 Washakuharibu masikini🙆♂️🙆♂️Haya mambo nlishayasahau kabisa siku hizi ni nusu usela nusu mahusiano.
Nliyokua naambiwa kuhusu mahusiano na uhalisia nliopitia naona kama mambo mawili tofauti kabisa.🤣🤣🤣🤣 Washakuharibu masikini🙆♂️🙆♂️
Yeah it's all timing akikuwahi ndio kashakuwahi na huo ndio ujanja hapo ungemuwahi wewe ungekua unajipiga kifua muda huu kwa kumchakaza jamaa mwingine na kumuacha na maumivu yake ndani kwa ndani ila kakuwahi kabla hujamuwahi hio imekaa vizuri sana next time you learned a lessonMiscalculation huwa zipo sometimes
Uliambiwa nini?Nliyokua naambiwa kuhusu mahusiano na uhalisia nliopitia naona kama mambo mawili tofauti kabisa.
Mahi mbona kama ndio wewe... 🤣🤣Yeah it's all timing akikuwahi ndio kashakuwahi na huo ndio ujanja hapo ungemuwahi wewe ungekua unajipiga kifua muda huu kwa kumchakaza jamaa mwingine na kumuacha na maumivu yake ndani kwa ndani ila kakuwahi kabla hujamuwahi hio imekaa vizuri sana next time you learned a lesson
Unaona kabisa design km ni mimi basi itakua ni mimi hapa pole sana lakini ndio imeshatokea tena hivyo hakuna namna usingefuta zile chats na kupiga kufuli ile haikua fair kabisa ulivyofanyaMahi mbona kama ndio wewe... 🤣🤣
Mahusiano ni mazuri, mtapeana kampan, mambo ya kupendana kwa dhati, kusaidiana kimawazo na kidollare & kufarijiana katika nyakati ngumu.Uliambiwa nini?
Aisee kwamba shift ya usikuShift ya usiku?
🤣🤣🤣🤣 ukakutana na mwana farao!Mahusiano ni mazuri, mtapeana kampan, mambo ya kupendana kwa dhati, kusaidiana kimawazo na kidollare & kufarijiana katika nyakati ngumu.
Nshakua emoshno ngoja nimalize kulia.
Nimekucheki PM hapo mkuu....😋Jaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.
Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.
Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.
Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
Kibaya zaidi mabraza wanakwambia "hujapata tu anaekupenda" "mengine tunavumilia" "hujui kuchagua" "muombe Mungu".🤣🤣🤣🤣 ukakutana na mwana farao!
let me call Ms I don't care 👐Sema nini sijali wala nini
Tunavumiliaga 😂 ila kiuhalisia wao ni wepesi kukosea, ukisema utafute sababu wala huikosiAiseee kama uko kichwani kwangu, nimetoka kumwambia hivyo mtu leo🤣🤣🤣
Mnadhani huwa tunawahitaji sana kuliko nyie mnavyotuhitaji..?Usingenyamaza kimya ghafla.. ungemuwinda tu hawachelewagi kukosea hao, ungepata sababu ya kumuacha na ye akijua kaachwa
wanatuzoea vibaya sasa "mbwa"Wee endelea kukificha kipochi manyoya ila siku ukifikisha age 35 uanze kusema wanaume wote ni mbwa