Kweli bangiii MBAYA kweliii bangeee MBAYAAA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
13.jpg
 
Mh!! kweli jamaa mchafu wakuu,hata kama ndio ugumu lol!! not this way.
 
Anatia kinyaa kwa kweli. Watu wake wa karibu msaidieni auvae uhusika wa kuwa kioo cha jamii
 
Hilo shati ni oversize, halafu kapiga modo kawa kituko nampa 20% kama lilivyo jina lake. Bange! bange! Ilinifanya nitoke ovyooo! Bange! Bange! Rudia chorous kisha chana mistari hadi mwisho. Halafu nahisi alizamia kwenye harusi huyu,duh wasanii wa bongo show zenu bana,bora vinega waendelee kupambana.
 
Huyu hajpend cjui ana matatzo gani ndio hyo mibange yaan anakipaj kizur lakn mmh muonekano hovyoo
 
no sio mchafubana ila hajavaa vizuri tu
mnyonge mnyongeni haki yake mpaeni
 
mfundisheni jinsi ya kushave hizo ndevu kwanza,,,,,utaona appearance itakavyoimprove.
 
Kipi kichafu alichovaa mbona majungu au sababu mmesikia anavuta bangi,jamaa anaweza ila mavazi ndio hayo anayopenda.
 
Jamani, kwani huyu ni nani?

Sio aliyeimba mimi niko Kitandani Presd Mkapa akampa gari?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom