SAA MBAYA RMX - ( O TEN & BUFF G)

SAA MBAYA RMX - ( O TEN & BUFF G)

Joined
Nov 8, 2018
Posts
23
Reaction score
27
Buff G - SAA MBAYA

Ni wakati wa kuangilia na kusema
lakini sio kilio salio katika saa hii ni mapingano
Wafaindikao Wazee Serikalini wapi na wapi
kijana juzi kahitimu Elimu ya Juu kazi mpaka uzoefu wa Miaka Kumi

Huu sio uvumi
kinachoingia Masikioni huwa hakipotei
Vijana Tanzania 🇹🇿 hatuna chetu ila madeni yambo Toka Kitambo
Ni saa mbaya Vijana

Ebu Tazama Wananchi Tuna rada na vipi tutapanda
nchi ina radar bilioni za Radar wekezeni kwa wasanii
Ni nani wa kung'amua kuumia hali hii kama sio walala hoi

Ni saa mbaya wananchi
polisi na vijana uwezi kuhisi kesi ni kesi
juu ya mada kesi wakikudaka hawakopeshi
Kata pochi chali, unaleta ujinga warisha juu ya ukimwi nayo ni vita vikali
Huwezi kujua muathirika kwa kutumia macho
Sawa na kuramba ncha ya mukuki ee h gushi ebu kwa microscope tujipe hope

Waafrika tutaona ufalume wa mbigu
Nani kidume hali hii ni ukame
Ebu mtazame masikini vipi ataishi
ni saa mbaya kwa jamii...

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

Saa Mbaya - O-Ten.

Kwenye tabaka la chuki nagonganisha miamba/
Kama ni nuru angani, basi nami nahitaji kutamba/
Maisha Taff kama ni meli, imeshapiga nanga/
Sauti yenye ngurumo sasa inapasua anga/
Kinywa changu silaha, hili game tumewahi kushinda/
Na mwanga rhymes mbele ya MC wenye akili kinda/
Wangapi nikifa haki za Underground watalinda?
Sheria msumeno, sometimes hata mistari inapinda/
Upeo wangu mkubwa uliojengewa ipafu na fua/
Sina ofisi, rafiki na kipenzi kikubwa jua/
Nataabika kama ni gari, imeshakata wese/
Nabana nioteshe mashina ishirini na mbili, labda nami nitese/
Niko jozini kuelekea kuzimu/
Basi...!!
Hapa nilipo sina hata theluthi ya elimu/
Naongoza mbele ya masheikh ama chama chao na walajimu/
Nikamrejee Nuru, Ruby, Feruz na Kuti/
Kisha mwanafasihi mwelevu niwe ndani ya suti...!!
Hahahaha...
Saa mbaya sasa...

Ukwaju wa
1787080137592.jpg
1787077068193.jpg
kitambo
0767 542 202
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom