mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
Kwenye moja ya hoja moto kwa viongozi wa serikalini hata vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa siku za karibuni ni Amani.
Hebu tujadili hivi Tanzania kweli hakuna Aman kiasi cha nchi kuwa na hofu ya mpaka kila mtu akose hata kufanya shughuli halali za kikatiba?
Hivi kweli tunahitaji kutangazia dunia kuwa hatuna Amani kisa wanaharakati wanaitisha maandamano mtandaoni wakiwa wamejificha kwenye keyboard 🎹 I?
Lakini kwanini tuwe na hofu na amani kisa maandamano ya vijana yaani vijana wa Gen Z wana nguvu ya kuondoa mpaka majeshi yawe nje au ndani yake kuna jambo hatuambiwi kweliii?
Hivi hoja za uwajibikaji, katiba mpya, na haki za mchakato wa uchaguzi ndio zinafanya nchi ipoe kiasi hiki🤔 hivi karibuni hakuna mwenye nguvu ya kusema okay vijana mnasemaje jipangeni niwasikilize kama alivyokuwa anafanya Mwl Nyerere akiwahutubia na kusikia hoja za kisha kutoa majibu yanayotakiwa kwa wakati bila hofu? 🤔