Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,790
- 6,995
Changa ni nini mshana.Changa....!
Changa ni nini mshana.Changa....!
Hahaaa lisema kolomije!!!.Kolomije
Kusema kwamba " siogopi kifo" Ni jambo moja,Na kukaribia kifo "kiuhalisia" Ni jambo jingine kabisa.Kifo! Sidhani kama nakiogopa.
Huwa nina kauli moja inayonipa ujasiri "kama siku zako zimefik utakufa tu hata kama umejificha uvunguni "
Na ndio maana hata neno linasema wale waliolala kuzimu, hawa si miili bali ni rohoImeandikwa yeyote aniaminiye mimi hata akifa atakuwa anaishi. Imani yetu ya kumwamini Mungu ni msaada kwetu.
Kifo hakina maumivu kama tunavyodhani, tunalala.Just imagine inavyokuwa unapochomwa sindano ya operesheni(nusukaputi) huwezi jua kinachoendelea na huko unakokuwa yaani unakuta ni raha tu. Kuishi kwa imani ni ushindi.
Maumivu ya ugonjwa ndiyo huuma ila kifo hakiumi.
View attachment 489399nimerejea kwenye mfululizo wetu ule wa makala zinazohusiana na kiama kifo kuzimu makaburini na hata mochwari
Ndani za hizo makala kuna nyingine ni za kutiana moyo na kuondoana hofu huku nyingine zikielezea dhana mbalimbali na nyingine zikiwa ni masimulizi ya kweli
Nia yangu si kuleta hofu wala kumtisha mtu bali kupandikiza mbegu ya uzoevu katika vitu visivyozoeleka.... Hasa kifo View attachment 489422
Hofu ya wengi kwenye kifo ni hii
Kwamba hatutaonana na wapendwa wetu tena
Kwamba miili yetu hii itaharibika na kuoza kabisa
Kwamba hatuna hakika na huko tuendako
Kwamba je ni kweli kuna pepo jehanam au rebirth/reincarnation?
Kwamba tunaachana na starehe za dunia hii na mali zote tulizochuma?
Lakini kubwa zaidi ni ule upweke kile kiza na zile kilo za mchanga ndani chini ya kaburi pekeyako kabisa .....na zile hari za kifo mwili unapotengana na roho I mean yale mateso yake zile dakika na sekunde za mwisho
Mbali ya hayo yote ni zile fikra za wale wapendwa wetu waliotangulia huko, kwamba wako wapi sasa na wanafanya nini huku ukionyeshwa mapicha ya marehemu Waliobaki mifupa tuu.....
Usimlaumu anayeogopa kifo ndani ya kaburi lililofunikwa kuna siri nyingi tusizozijuaView attachment 489418
Thanks so much for this deep sharing..... Imejibu maswali ya wengi, ni uchambuzi mzuri wa kina, thanks againUoga wa kifo unakuja hasa kutokana na family zetu tunazotoka,generation ya sasa hivi wazazi hawakai hata siku moja kujadili na watoto zao kuhusu kifo,we try to pretend kama vile we won't leave this place,we try to mask the truth of death matokeo yake ni kwamba watoto wanasikia juu juu tu huko mitaani,so they have nothing to learn,zaidi ya ku create fear .
Katika family nyingi kujadili mambo ya kifo ni kama kuleta nuksi ndani ya nyumba,hii ni dhana iliyogeuka kua imani.Matokeo yake hakuna anae appreciate death ,tunakichukulia kifo ni kama adhabu,nuksi,balaa ,mateso.Yaani mtoto wa 19 yrs old aliefiwa na mzaz wake anapata wakati mgumu sana ku understand what is up,kwanini imetokea kwake ,maisha yake yatakuaje bila mzazi,wengine wanafikia hatua ya wao kutaka kufa pia,Yupo jamaa yangu hakufanya mtihani Wa form 4 kwasababu siku mbili kabda ya necta mzaz wake alikufa,imagine and the guy was very smart darasani ,hizi ni athari kwasababu wazazi hawapo open and honest kwa watoto wao juu ya the truth about death.
Hili ndiyo tatizo kubwa ambalo limetengeneza Uoga usiokuwa na maana yoyote ,kwasababu uoga wako hauzuii kifo kutotokea ,badala yake unakuzuia wewe kujifunza zaidi.
What are we afraiding? Are we afraiding the Truth or losing our life ?
Nadhani imefika wakati sasa wazazi wawe honest na watoto wao ,wawaelimishe na kuwapa ujasiri kua hakuna tatizo katika kifo,It is just the way of life .We are here to learn ,grow ,develop and die .Some die first to give lesson to others.
That's all it is .
Hahaa napenda ulivyo malizia hiyo sentence.LA macho hakuna aliyefufuliwa
Misukule haifi wale ni matapeli tu kwa mask ya diniHahaa napenda ulivyo malizia hiyo sentence.
Naonaga wanatoaga ushuhuda kwamba, alikufa msukule sijui then kwaimani amefufuliwa na ni mzima tena.
Any way labda huna imani mkuu.
Ndio wewe![]()
![]()
MIMI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


naogopa watasoma diary yangu na kupekua simu!!! 


Mmmh! Kwa mimi hua nafikiria vitu vya ajabu aisee!!!
Ukiachana na kutewaacha ndugu... Na maumkvu yote watakayoyapata... Sijui ntakapoishia... Kama kuna jehanamu na mbinguni yaani najiona kuelekea jehanamu kutumia speed boat!! Ile fikra tu ya what next!!! Hua inaniogopesha.
Hayo ya mchanga, sijui kiza sijawai fikiria...
Kingine...naogopa watasoma diary yangu na kupekua simu!!!
![]()
death is the state my dia not the processIt's a tragedy to know that with over seven billion people on this planet today, only a minute fraction will experience a significant fraction of true LIVING. Majority are just EXISTING and then DIE without Living. It's more tragic to see great population is likely to follow the same path.....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
death is the state my dia not the process