Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa?

View attachment 489399nimerejea kwenye mfululizo wetu ule wa makala zinazohusiana na kiama kifo kuzimu makaburini na hata mochwari
Ndani za hizo makala kuna nyingine ni za kutiana moyo na kuondoana hofu huku nyingine zikielezea dhana mbalimbali na nyingine zikiwa ni masimulizi ya kweli
Nia yangu si kuleta hofu wala kumtisha mtu bali kupandikiza mbegu ya uzoevu katika vitu visivyozoeleka.... Hasa kifo View attachment 489422
Hofu ya wengi kwenye kifo ni hii
Kwamba hatutaonana na wapendwa wetu tena
Kwamba miili yetu hii itaharibika na kuoza kabisa
Kwamba hatuna hakika na huko tuendako
Kwamba je ni kweli kuna pepo jehanam au rebirth/reincarnation?
Kwamba tunaachana na starehe za dunia hii na mali zote tulizochuma?
Lakini kubwa zaidi ni ule upweke kile kiza na zile kilo za mchanga ndani chini ya kaburi pekeyako kabisa .....na zile hari za kifo mwili unapotengana na roho I mean yale mateso yake zile dakika na sekunde za mwisho
Mbali ya hayo yote ni zile fikra za wale wapendwa wetu waliotangulia huko, kwamba wako wapi sasa na wanafanya nini huku ukionyeshwa mapicha ya marehemu Waliobaki mifupa tuu.....
Usimlaumu anayeogopa kifo ndani ya kaburi lililofunikwa kuna siri nyingi tusizozijuaView attachment 489418
Sasa mshana jr umejuaje kuwa ndani ya kaburi kuna siri nyingi tusizozijua?
 
Vitu vingine tunaaminiashana pasipo kuwa na strong evidence..
 
Kifo huwa kipo

Ila binafsi, kulingana na Imani yangu siamini kuwa "Kila nafsi itaonja mauti"

Ila naamini wengi wataonja mauti

Pia, naamini kuwa kuna "HUKUMU YA HAKI KULINGANA NA MATENDO/MAISHA YA DUNIANI" baada ya kifo

Woga wa kifo unapaswa kuwapata wasio na matumaini ya kule waendapo, tofauti na wale wanaotumaini maisha mazuri zaidi kuliko haya ya duniani.

Heri waliokufa katika Bwana.
 
Nakumbuka nilianza kuogopa kifo nilipoanza kuangalia zile movies za final destinations ...zile movies zilinifanya niwe na tahadhar kubwa mno, yaani kusoma angle zote ambazo ni loophole za kuwa attacked, pia possible angle za ajali na namna ya kukabiliana nazo, mfano kuvuka kwenye mito mikubwa yenye current kubwa misimu ya mvua ukiwa porini, kujihami na nyoka wenye sumu kali ukiwa porini, majambazi na silaha wanazotumia..etc

Kwa kifupi kifo ni maumivu ndo maana watu tunaogopa
 
wacha kunilisha tongo pori
mimi nmewahi kuexperience ,vile kama pumzi inakata....
kwanza mawasiliano yanakata unasikia kimya... halafu unaanza kuona ndo basi tena ,kile kitendo cha kuona ndo basi kibaya usisikie...
halafu unaanza kuota vitu vya ajabu unamfata mtu unamuita haitiki, unaongea na watu wanaendelea na mambo yao.
unalia mno
hapo sikufa ,nilionja ⅓ yani nilionja kama punje ya choroko

kufa kubaya sana
kaka mshana sitaki kuamini
We are more than this body. Are you using your mind or the mind is using you?
Huna haja ya kuogopa mauti
 
Uoga wa kifo unakuja hasa kutokana na family zetu tunazotoka,generation ya sasa hivi wazazi hawakai hata siku moja kujadili na watoto zao kuhusu kifo,we try to pretend kama vile we won't leave this place,we try to mask the truth of death matokeo yake ni kwamba watoto wanasikia juu juu tu huko mitaani,so they have nothing to learn,zaidi ya ku create fear .
Katika family nyingi kujadili mambo ya kifo ni kama kuleta nuksi ndani ya nyumba,hii ni dhana iliyogeuka kua imani.Matokeo yake hakuna anae appreciate death ,tunakichukulia kifo ni kama adhabu,nuksi,balaa ,mateso.Yaani mtoto wa 19 yrs old aliefiwa na mzaz wake anapata wakati mgumu sana ku understand what is up,kwanini imetokea kwake ,maisha yake yatakuaje bila mzazi,wengine wanafikia hatua ya wao kutaka kufa pia,Yupo jamaa yangu hakufanya mtihani Wa form 4 kwasababu siku mbili kabda ya necta mzaz wake alikufa,imagine and the guy was very smart darasani ,hizi ni athari kwasababu wazazi hawapo open and honest kwa watoto wao juu ya the truth about death.

Hili ndiyo tatizo kubwa ambalo limetengeneza Uoga usiokuwa na maana yoyote ,kwasababu uoga wako hauzuii kifo kutotokea ,badala yake unakuzuia wewe kujifunza zaidi.

What are we afraiding? Are we afraiding the Truth or losing our life ?
Nadhani imefika wakati sasa wazazi wawe honest na watoto wao ,wawaelimishe na kuwapa ujasiri kua hakuna tatizo katika kifo,It is just the way of life .We are here to learn ,grow ,develop and die .Some die first to give lesson to others.
That's all it is .
Safi sana Mk... Umenichefua ulipoandika afraiding .... There's no such a word in this world.
Uelewa wako wa mambo ni mpana.
Asante.
 
Mmh mambo ya kiroho ngumu sana kuwa na ithibati kama zile za kisayansi ambazo nazo pia si timilifu
Mshana, watu wengi hawajui yakuwa our reasoning mind is very limited.
Go beyond the reasoning mind.
Mambo ya kiroho ni ya kiroho
 
Back
Top Bottom