Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,302
Hapo ndio sijui kama nitashuhudia au la.
Unaogopa kuoza baada ya kufa! kwani utashuhudia ukioza?
Unaogopa kuoza baada ya kufa! kwani utashuhudia ukioza?
Watu na confidence zaoUzuri wa kifo ni kuwa
Pale ambapo kifo kipo binadamu hayupo na pale ambapo binadamu yupo kifo hakipo, ukifa unakuwa haupo so hakuna haja ya kuogopa, na unaogopa kwa kuwa upo.
Wala haina haja ya kutishana, kifo ni moja ya ugunduzi bora kabisa kuwahi tokea ulimwenguni, kinatoa chance ya kizazi kimoja kurithisha dunia kizazi kingne.
Tangu nilipofanyiwa operesheni mwaka 2013, nikapigwa nusu kaputi na kupotea kwa masaa ambapo siku-feel maumivu yoyote hadi nilipozinduka. kwa kweli hofu ya kifo imepungua kwangu. huo muda niliopotea niliufananisha karibu sawa na mtu aliyekufa.Yaani hujui chochote. sasa ukisema unaogopa kuoza si sawa kwani hutashuhudia lolote. mf mimi kama Waganga walinigeuza geuza nikiwa uchi sikutambua lolote.Hapo ndio sijui kama nitashuhudia au la.
hakuna lolote. nani alishuhudia?ETI UNAPOZIKWA TU. UNAAMSHWA THEN UNAANZA KUPAMBANA NA MICHANGA ILIYOKUFUNIKA AU SANDUKU + JOTO.
Aiseee kumbeTangu nilipofanyiwa operesheni mwaka 2013, nikapigwa nusu kaputi na kupotea kwa masaa ambapo siku-feel maumivu yoyote hadi nilipozinduka. kwa kweli hofu ya kifo imepungua kwangu. huo muda niliopotea niliufananisha karibu sawa na mtu aliyekufa.Yaani hujui chochote. sasa ukisema unaogopa kuoza si sawa kwani hutashuhudia lolote. mf mimi kama Waganga walinigeuza geuza nikiwa uchi sikutambua lolote.
Aisee ww ndo kama mimi nimemkumbuka my mom jamani nikiwaza kudanja naonaga kila kitu dunian hakifai why Mungu ukiweka kifo jamaniMimi kifo sikiogopi, alianza kufa mama alipata ajali ya bus nimetoka kumsindikiza asubuhi ibungo mida ya mchana tumeongea akasema karibia afike nusu saa napigiwa simu kuna ajali na mwanye simu amefariki,, wacha kabisa nilikuwa kazini sikuaga kiumbe nilichomoka, mshua Nae alishazipata habari tukafarijiana. Alafu unakuwa auamini hadi ukishazika.... Miaka michache nikampoteza tena mzee aliumwa ghafla kumpeleka hosp asubuhi kesho yake Muda kama alioripoti hosp akatutoka..... Kufiwa kunauma asikuambia mtu..... Mzee na mama walikuwa watafutaji Sana na kama ni urithi wameacha wa kukumbukwa..... Waliangaika Sana walijitesa usiku na mchana kununua maeneo kujenga nyumba zote wameziacha na awakuna mawazo kama watakufa mapema hata Mimi sikuwai kuwaza vifo vyao.... Mimi Bado Nina mipangp mingi Sana kichwani na kuna vitu nataka kuvifanya Ila ninapowaza kifoooooooo ninavyunjika Moyo Nipo above 25.last Saturday nilikuwa kilimanjato st marygoreti graduation ya mdogo wangu nikasalimiana na mzee mmoja na yeye alikuja kwenye graduation ya mtoto wake, ninavyoandika Nipo kwenye msiba wa huyo mzee alipata ajali alhamisi usiku maeneo YA mlandiz bahati mbaya alifariki. Mshana Jr. Ebu toa wazo kijana wa mzee anae subiri kuanza paper la six mwezi may tumpe taarifa au tuuchune na kuna mdogo wake yupo form three hapohapo yeye atakuwa likizo YA Ester next week atakuja nyumban na atapata taarifa zote na baada YA Wiki mbili atarudi shule ataweza kujizuia akionana na ndugu yake asiweze kumwambia majanga yaliyopo nyumbaniii.... Ebu oneni kifo kilivyo hadi kuna wakati nasema kwanini Mungu aliweka kifo....



Mi naogopa mno kufa ,,,na kuna watu hivi kama 7 nikiwemo mim sitaki wafe kabisa huwa nawaombea kila siku wasife ,mpaka huwa nalia naomba sana ,,na huwa najuta kwanini tulizaliwa halaf tunakufa ,kaburi linatisha sana cc Mwanamutapa



me pia jamani Mungu uyu alijua kutukomesha hapo Ila hatuna njia ya kukikwepaKuna siku ntapewa jina before jina langu halijatamkwa na huo ndo ukamilifu


