Kwanini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hatelezi?

Kwanini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hatelezi?

Umekariri vibaya sana jamaa ni mkristo..jina limekufanya uhisi ni muislamu hahahaha
Heshima kwako mkuu.
Huwa nikiona mtu mwenye fikra kama za huyo mwenye hoja ya hekima kuwa ndani ya kundi fulani(liwe la kidini,kabila,ukanda nk) sipendelei kujibizana nao.
Nakuwa naamini fika uelewa wake ni mfinyu ila ana mambo aliyokaririshwa.

Mama Samia alionesha mapema kuwa kiongozi mzuri na !wenye subira kabla ya kufanya maamuzi.

Majaliwa Kasimu alitaka kuyumbishwa na mfumo wakati wakipokea kijiti,lakini nashukuru sasa anazidi kuwa bora siku hadi siku.
Hii haimaanishi kuwa ni sababu ya dini yake.

NAWATAKIA MFUNGO MWEMA NDUGU ZETU WAISLAMU.
 
Majaliwa,Samia,Jaffo,RC wa Simiyu ni kati ya top ten ya viongozi wenye hekima na busara tunajivunia kuwa nao.Wana mpangilio wa Hoja wametulia hawana papara hata wanapojibu Hoja awachoshi kuwasikiliza.
Bahati mbaya kabisa, wanaweza wasiwemo katika list ya ajaye, ukashangaa kimeibuka kibungo kisichoeleweka kabisaa.
 
Kuna mimtu inapenda sana Udini mimi siipendi inafikra mgando, ila mkiambiwa na upande wa weakness kama ugaidi msilete mapovu humu.Sio kijisifia tu.
 
Sasa mkuu umeuliza swali alafu umelijibu mwenyewe sasa sisi tuongezee nini tena?
Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.

Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.

Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.

Kongole Kassim Majaliwa
 
Nani huyo mkuu tafadhali weka wazi
Huyu alipoapa kulinda katiba na Mungu kambariki kwa sababu aliapa kwa dhati, Kuna waziri juzi aliingia mkataba wa kuuziana korosho tani 100,000 na kampuni ya Ke lakini mkataba umevunjika hata tani moja hawajauziana
 
Ila ujue alikuwepo kwenye ile clip ya tuna Imani na Lowasa.
Ndio maana unaona anajichunga sana asije akaamsha vilivyolala
 
Makamu hakuna kitu. Wale wangeikuta CCM.ile ya Edo na Nchimbi, wasingejali chochote cha nchi hii. Magufuri amefanya viongozi na watendaji wa CCM wa hapo awali wanaonekana wazuri lakini so sahihi kudhania hvo.

Leo eti Nape na Mwigulu wanaonekana nafuu na waimgwana, weeh!!
 
Cheo cha Waziri Mkuu hakipaswi kuwapo kwani hana Mamlaka yoyote. Wote anaonekana kuwasimamia ni wateule wa Rais. Aidha Rais apunguziwe majukumu ya Kiserikali apewe yeye
 
Huyu alipoapa kulinda katiba na Mungu kambariki kwa sababu aliapa kwa dhati, Kuna waziri juzi aliingia mkataba wa kuuziana korosho tani 100,000 na kampuni ya Ke lakini mkataba umevunjika hata tani moja hawajauziana
Napendekeza huyo macho michuzi avuliwe ubunge wa viti maalumu arudishwe darasani akafundishe ameitia nchi hasara ya matrilioni kuanzia makinikia Hadi korosho!
 
Kwa taarifa yako prince anapachikwa jimbo la kawe kisha anautwaa uwaziri mkuu,

Majaliwa is simply a good leader asiyetakiwa katika serikali ya viwanda maana haimbi mapambio na anapendwa sababu ya roho mzuri aliyonayo.
umetisha, nadhani like yangu uneiona
 
Back
Top Bottom