Mmh kuna ka ukweli bhana ata CAG Vs Spika. Hem tathmini utakuta tupo wadhafu ata ktk list of shame tupo wengi km co woteMmmh acha hizo mada ni mbaya sana
Mmh kuna ka ukweli bhana ata CAG Vs Spika. Hem tathmini utakuta tupo wadhafu ata ktk list of shame tupo wengi km co woteMmmh acha hizo mada ni mbaya sana
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
[/QU
Huna akili kabisa, mngekuwa na hekima ya uongozi kupitia kivuli cha Dini,hata Somalia wasingekuwa na Vita miaka yote.. Acha kuropoka we bwege
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Wacha hasira ukweli waonesha hivyo mchunguze Mkapa Nyerere Mwinyi na Kikwete kisha lete jibuAcha kuwa na mawazo finyu, mtu wa dini yoyote na kabila lolote anaweza kuwa kiongozi mzuri sana, unataka kusema hii chi kila sekta inaongozwa na mwislam? Na pia unataka kusema hakuna viongozi wa kiislam wanaofanya mambo ya hovyo na ya kifedhuli tena kuliko hata hao wakristo unaowasema?
Yule aliyeagiza binadamu mwenzake achinjwe kisha akatwe katwe kama mishkaki kule Uturuki ni Mkristo?
Mbaya zaidi yuko makao makuu yenu.
Tehe tehe teheSababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
siri yake ni imani yake.Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
hapana dini sio kigezo kuna viongoz wa kikristo wapo vizuri mfano magesa mulongo wa simiyu pia wazir wa ardhiSababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Mbona wale wanao uza unga wenzao wenye majina ya kiislam huwa mnawanasabisha moja kwa moja na uislam? Kwanini naye asitumie hicho kigezo vice verse?Acha kuwa na mawazo finyu, mtu wa dini yoyote na kabila lolote anaweza kuwa kiongozi mzuri sana, unataka kusema hii chi kila sekta inaongozwa na mwislam? Na pia unataka kusema hakuna viongozi wa kiislam wanaofanya mambo ya hovyo na ya kifedhuli tena kuliko hata hao wakristo unaowasema?
Yule aliyeagiza binadamu mwenzake achinjwe kisha akatwe katwe kama mishkaki kule Uturuki ni Mkristo?
Mbaya zaidi yuko makao makuu yenu.
Na ndio maana sio kila Muislamu ni GAIDI (TERRORIST) lakini kila GAIDI ni muislamu kwa sababu WAISLAMU wana hekima kubwa ya UONGOZI !!! Umenena vema, una akili na hekima kubwa sana na lazima wewe utakuwa Muislamu GAIDI pia!!!Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Amelelewa vizuri, hao vifutu wengi hawakupata malezi bora ni machokoraa tu.Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
CCM wako vizuri katika kuwagawa watu aidha kwa dini au ukabila, hapa tayari umeshawaondoa watu kwenye reli. Hii kanuni ya divide and rule inaibeba sana CCM na ushahidi ni kwenye post hii. Poleni sana mliolegezwa kwa mtazamo wa kidini yaani mumekuwa laini kama mlenda vile.Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
CCM wako vizuri katika kuwagawa watu aidha kwa dini au ukabila, hapa tayari umeshawaondoa watu kwenye reli. Hii kanuni ya divide and rule inaibeba sana CCM na ushahidi ni kwenye post hii. Poleni sana mliolegezwa kwa mtazamo wa kidini yaani mumekuwa laini kama mlenda vile.
Mamwinyi hawanaga shidaMajaliwa mtu wa Pwani. Watu wa Pwani hawanaga chuki za kijinga
Ila ujue alikuwepo kwenye ile clip ya tuna Imani na Lowasa.
Ndio maana unaona anajichunga sana asije akaamsha vilivyolala
Cheo cha Waziri Mkuu hakipaswi kuwapo kwani hana Mamlaka yoyote. Wote anaonekana kuwasimamia ni wateule wa Rais. Aidha Rais apunguziwe majukumu ya Kiserikali apewe yeye
Napendekeza huyo macho michuzi avuliwe ubunge wa viti maalumu arudishwe darasani akafundishe ameitia nchi hasara ya matrilioni kuanzia makinikia Hadi korosho!
One man show ndo inayowafanya waonekane haqazingumzi...
ILA Kwa UVUMILIVU nakubaliana na mtoa mada
Alimkata jicho kali Bashite pale Moshi Kanisani nadhani alitamani amkate vibao ila alidhiti hasira zake.
Ukiona hivyo ujue alishinda kwenye uchaguzi kihalali hivyo ana furaha na cheo chake na anawajali watu sio madaraka.