Kwanini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hatelezi?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.

Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.

Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.

Kongole Kassim Majaliwa
 
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Acha kuwa na mawazo finyu, mtu wa dini yoyote na kabila lolote anaweza kuwa kiongozi mzuri sana, unataka kusema hii chi kila sekta inaongozwa na mwislam? Na pia unataka kusema hakuna viongozi wa kiislam wanaofanya mambo ya hovyo na ya kifedhuli tena kuliko hata hao wakristo unaowasema?

Yule aliyeagiza binadamu mwenzake achinjwe kisha akatwe katwe kama mishkaki kule Uturuki ni Mkristo?
Mbaya zaidi yuko makao makuu yenu.
 
Back
Top Bottom