Wepi wasiouza nchiWanauza nchi hao unaowasifia
Wepi wasiouza nchiWanauza nchi hao unaowasifia
We mbona hyo busara huna?
Unaidhalilisha dini yako!
HakunaWepi wasiouza nchi
Nchi hii kuna kiongozi mzuri?Wepi wasiouza nchi
Unaleta udini ktk siasa, jitahidi kushirikisha hakiri yako na vidole vyako kabla hujakomenti kitu.
Kwenye eneo lipi
Huwa hatumii miemuko au kutaka kusifiwa wakati anapotekeleza kazi zakeViongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
Kwenye eneo lipi
Kumbe al bashir ni mkristo et?Mshazoea unafiki kusema mambo pembeni? Si mlinganishe wenyewe,kwann mjifungie kwenye Hoja ya udini Na siasa
Naona mkibanwa mnakumbuka makoloni yenu. Mlimtaka lowassa, mkaja sumaye, membe, jk, samia sasa mnamtaka majaliwaViongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
Kweli kabisa mfano mzuri ni Lipumba. AiseeSababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Kweli kabisa watu wangejifunza busara na unyenyekevu wa "mtukufu" Rais wetu John Magufuli tungefika mbali sana. Maana yeye ni mfano bora kabisa hata duniani kwa upole na unyenyekevu, ndio maana hata kanisani anapiga magoti.PM na Makamu wa Rais ni viongozi. Nimemaliza.
Wa Arusha ni mkristo?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Tatizo lipo kwa mteuzi kaokota vijana kisa walifanya kampeni chafu yeye kupata kura.RC wa Iringa ni Mkristu? RC wa Mara je? wa Arusha je?
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo