Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Alibadili Dini Mkuu kumfuata Mkewe MarySababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Alibadili Dini Mkuu kumfuata Mkewe MarySababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Huko unakotaka kwenda utaharibu huu mfungo ndugu yangu.Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Acha kuwa na mawazo finyu, mtu wa dini yoyote na kabila lolote anaweza kuwa kiongozi mzuri sana, unataka kusema hii chi kila sekta inaongozwa na mwislam? Na pia unataka kusema hakuna viongozi wa kiislam wanaofanya mambo ya hovyo na ya kifedhuli tena kuliko hata hao wakristo unaowasema?
Yule aliyeagiza binadamu mwenzake achinjwe kisha akatwe katwe kama mishkaki kule Uturuki ni Mkristo?
Mbaya zaidi yuko makao makuu yenu.
Unaleta udini ktk siasa, jitahidi kushirikisha hakiri yako na vidole vyako kabla hujakomenti kitu.Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
hajiamini tu . ndo mana hata akila dafu utasikia dafu oyeeeee?Duh. Ni kujizatii kwa ajili ya 2020 nini?
Nimempa mfano mmoja wa kiongozi Muislam mwenye hekima - Iddi AminUnaleta udini ktk siasa, jitahidi kushirikisha hakiri yako na vidole vyako kabla hujakomenti kitu.
Na Mimi najua hivyo,tena mromaUmekariri vibaya sana jamaa ni mkristo..jina limekufanya uhisi ni muislamu hahahaha
Manara ni Mkristo?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Viongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
Huyu mtu amebarikiwa busara na ana taranta ya uongozi, hata makamu yuko vizuri sana
Kuna watu kiasili wanazaliwa wakiwa viongozi, huyo ni mmoja kati yao
Haswaa.. Au al bashir hamuoni?Nimempa mfano mmoja wa kiongozi Muislam mwenye hekima - Iddi Amin
Mnawaloga alafu mnakaa pembeni mnashangilia.Hata mama samia,anajua mipaka ya ulimi wake hawa wengine walevi wa madaraka
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
We mbona hyo busara huna?MTU yeyeto anaeswali Na kukumbuka kupalilia makaburi ya ndugu zake Na pia afungae,huwa ni kiongozi bora mwenye utu Na kuwathamini wengine,hawezi lewa Madaraka, tofauti Na viongozi waumini wa ndumba
Mbona JPM siyo muislam?Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Wanauza nchi hao unaowasifiaSababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo