Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,420
- 1,741
Siyo CCM tu ni dunia nzima inagawanywa kwa misingi ya udini.CCM wako vizuri katika kuwagawa watu aidha kwa dini au ukabila, hapa tayari umeshawaondoa watu kwenye reli. Hii kanuni ya divide and rule inaibeba sana CCM na ushahidi ni kwenye post hii. Poleni sana mliolegezwa kwa mtazamo wa kidini yaani mumekuwa laini kama mlenda vile.
Ukizingatia mdomo unaponzaga KICHWA.....Kila mtu anachunga mdomo wake ili kulinda kamshahara kake
Ukizingatia mdomo unaponzaga KICHWA.....