Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 104
Mimi ni mbara tena wa kaskazini,lakini sina chogo. Tena kumebonyea kidogo.
Vichwa vipi? Hebu fafanua kidogo.Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Wakati huo huo Jiulize pia kwa nn mataahira wengi hawana machogo
Wakati huo huo Jiulize pia kwa nn mataahira wengi hawana machogo
kwa sababu ya kunywa urojo
Hahaha kweli mkuu mfano mzuri muangalie Salum Mwalimu Huyu Wa Chadema then ana mdogo wake nimemsahau jina nae hivo hivo no vichogo..nilisoma nao primary
Huko Zenji unajulikana kuwa si Mzanzibari na kuitwa chogo.
Wao mtoto akizaliwa wanamkanda kwa kutumia mfuko wenye mchanga kisogo na ndo maana wanakuwa na chogo bapa. Ni sehemu ya utamaduni wao.
Uzao wa watumwa, watumwa walikuwa wakibebeshwa magunia shingoni, yakapiga pasi chogo na kufuta akili evolution ikaendelea hadi leo. Most of them are bogas na Mataahira wote Duniani hawana vichogo na wanafanana hata akiwa mzungu.
Hawana vichogo lakini wana makomo mbele ya uso watizame vizuri.Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Huu ulinganisho wako nimeupendaWakati huo huo Jiulize pia kwa nn mataahira wengi hawana machogo
ww c bure unatafuta ugomvi.ngoja watakuja tu kukupa majb ndo hapo utatumbuka mbwaaaaaaaa.
Nimesoma na wazanzibar wasiopungua 9 since primary mpaka secondary,ni kweli hawana kabisa visogo na wote walikuwa vilaza wa kutupa kwenye masomo sasa sijui kuna uhusiano Kati ya hivyo vitu viwili.
Kali kuliko ni kwamba madogo walikuwa wanazijua Kero za muungano tukiwa darasa la pili lakini Multiplication table hata ya 2 chalii.