Nipo hapa kuelezea uhalisia wa mambo jinsi yalivyo na hii ni kutokana na matukio ya kihistoria ambayo dunia kwa kipindi fulani kimepitia na bado kinaendelea kupitia, vita vya Russia na Ukrein, Israel vs palestinian, bokoharam vs ecowas, M23(rwanda) vs congo n.k
Zanzibar kama taifa ndani ya muungano wa Tanzania, muungano huu umeiweka Zanzibar salama zaidi kuliko ambavyo ingebaki yenyewe.
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar kufanyika mwaka 1964 na mtawala wa wakati huo sultain akafukuzwa Zanzibar na yakafanyika mauaji kwa jamii zenye nasaba za kiarabu/oman. Muungano ndio uliokuja kuituliza Zanzibar bila hivyo leo hii kwa nguvu ambazo wazanzibari wenye asili ya kiarabu waliyokuwa nayo wakati huo wasingekubali kuishi chini ya uongozi wa kimapinduzi.
Wazanzibari wanajiona wamoja kwa sababu ya dini yao majority wengi ni waislamu lakini wamesahau kwamba dini haijawahi kuwaunganisha watu. Ukiachana na dini ukichunguza asili ya watu wa Zanzibar kuna jamii au koo mbili yaani nasaba za utambulisho wa kirangi na muundo wa sura na nywele.
Asili ya kwanza
Wabantu pure yaani waafrika ngozi nyeusi kama wana asili ya bara
Asili ya pili
Waarabu pure yaani waarabu ambao asili yao ni oman
Asili ya tatu
Machotara yaani mchanganyiko wa uzao wa waarabu na waafrika.
KWA NINI ZANZIBAR INGEWEZA/INAWEZA KUWA KAMA DARFUR.
1.Kisasi cha mapinduzi
Bila muungano Zanzibar isingetawalika chini ya ngozi nyeusi na hii ni kutokana na nguvu za ushawishi wa nchi za kiarabu kwa wakati huo.
2.Ubaguzi
-Waarabu pure wangejiweka wananchi daraja la juu (first class)
-Machotara wangekuwa daraja la kati (middle class)
-Wabantu black wangejikuta wapo daraja la chini (low class)mfano huo angalia nchi kama india, Bangaladesh,sudan n.k
3.WAPEMBA VS WAUNGUJA
-Kijiografia Zanzibar imeundwa na visiwa vikubwa viwili ambavyo ni pemba na unguja, na kwa bahati mbaya wakaaji wengi wanaoishi kwenye kisiwa cha pemba ni wenye asili ya kiarabu na machotara na wakaaji wengi wanaoishi kwenye kisiwa cha unguja ni wabantu pia kuna machotara, ukiangalia kwa muundo wa asili ya wakazi wa visiwa hivyo viwili wamakaa kiubaguzi.
DARFUR-
Mgogoro wa darfur nchini sudani ulizihusisha koo za kikabila ambazo zilibaguana kutokana na rangi na asili za muonekano wa ngozi zao.
Waislamu wenye asili ya kiarabu mpaka hii leo bado wanaendelea kuwachinya wenzao waislamu wenye asili ya kiafrika(black)
Chanzo cha mgogoro huu ulitokana na uongozi wa serikali kuwabagua wananchi wake wenye asili ya kiafrika, hapa dini haikuwaweka pamoja bali asili ya muonekano wao uliwatenganisha.
SOMO LA KUJIFUNZA
•DINI, RANGI, KABILA halijawahi kuwaunganisha watu bali UTU.