vichwa vya matahira hivyo.
Kumbe machogo yanaweza kupunguzwa!Wazanzibari na watu wa pwani wengi wanapohisi mtoto amezaliwa na chogo na au akilala analala ubavu hutumia mito midogo ya mchanga kuwawekea kisogoni na huwabana kwa khanga mwilini ili wasigeuke wakalala kwa ubavu. Hii ni wakati wachanga kabisa na bado wateke.
Matokeo ni kuwa na kisogo na si chogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesoma na wazanzibar wasiopungua 9 since primary mpaka secondary,ni kweli hawana kabisa visogo na wote walikuwa vilaza wa kutupa kwenye masomo sasa sijui kuna uhusiano Kati ya hivyo vitu viwili.
Kali kuliko ni kwamba madogo walikuwa wanazijua Kero za muungano tukiwa darasa la pili lakini Multiplication table hata ya 2 chalii.
Hivi ni kwanini Wazanzibari walio wengi hawana vichogo kama sisi wa Bara? Yaani vichwa vyao kwa nyuma vimepigwa pasi na havijachongoka kama vya kwetu Wabara!
Due to reduced volume for brain growth [emoji119] [emoji108]Wakati huo huo Jiulize pia kwa nn mataahira wengi hawana machogo
Soma tena post #105, utaelewa tu.Kumbe machogo yanaweza kupunguzwa!